Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
- Thread starter
- #61
KivipiHata mkiandikishiana dhulumaji litakudhulumu tu na makaratasi yako mkononi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KivipiHata mkiandikishiana dhulumaji litakudhulumu tu na makaratasi yako mkononi
😅😅😅😅Huyo mimi ningemtafutia ningejifanya fala mbele za watu lakini siku ambayo angejaa kwenye mraba angelia kama mtoto mdogo
Noma Sana 🧢🖖🏾Kuna mzee mmoja niligombana nae kisa tulibishana kwenye ukumbi wa mpira ilikuwa Real Madrid na Barcelona (El Classico). Na mie nikiwa ni Team Ronaldo.
Mie nilikaa kimya ila yule mzee akawa anaongea shit sana, kuwa najifanya mjuaji mara ooh najifanya nina pesa na maneno kibao ya kukera.
Kiuhalisia mie huwa sio muongeaji sana, huwa naamuaga kukaa kimya maana nikiwa na hasira nakuwa na kigugumizi ghafla na kuanza kutetemeka. Sasa yule mzee ndio ikawa point kwake maneno kibao mie namchora tu.
Mpira ukaisha ile tunatoka yule mzee akawa anasema huyu mtoto lazima nimkomeshe tu na shit kutosha.
Alivyosema hvo nikajawa na gesi sio kawaida sikuongea na mtu nikaenda moja kwa moja hadi Gas station (sheli) nikanunua petrol lita 5 nikarudi hadi mtaani nikavizia kwenye saa 8 usiku nikaenda hadi kwake na nikaanza kuimwaga ile petrol kuizunguka nyumba ya yule mzee lengo langu niwateketeze yeye na familia yake.
Ile nakaribia kumaliza kumwaga ile petrol kidogo jamaa angu huyu hapa kumbe alikuwa ananifatilia tokea muda.
Jamaa kafika pale akanirukia kapiga kidumu kule akaanza kunisihi niache kufanya maamuzi kama yale. Hapo mie nimejaa sio kawaida.
Kiukwel ikabidi niache lakini ndio ikawa pona yake yule mzee na family yake.
Lakini sikuishia hapo maana nilikuja kumvunja mguu baada ya miezi kama mi3 mbele hivi.
Duuuh umeonewa sana mkuuuuu mi sijui ningefanyaje kama hapa jamvini tu nataka kuwasakama baadhi ya members eti kama hawa nikikutana nao ntawachinja kwa mikono yangu kabisaWaovu hawazaliwi wakiwa hivyo bali ni matokeo ya uminywaji wa haki na Uonevu katika Jamii. Hata magaidi au wanaotekeleza mauaji ya kinyama, lazima Kuna sababu nyuma yao.
Miaka ya nyuma nilienda shuleni kuchukua cheti Cha O-level. Nilfunga bahasha kwenye baiskeli nikawa nikiendesha speed. Kuna wazee niliwakuta tunafahamiana, Kati yao kulikuwa na mmoja ana mgogoro wa shamba na familia yetu, alikuwa anang'ang'ania shamba letu na anakiri wazi kuwa anafanya hivyo kwa sababu hayupo tayari kuona mjane akiwa na ardhi kubwa Kuliko yake.
Nikaona hakuna haja ya kusalimia, nikawapita kwa kasi kufika mbele nikagundua nimedondosha bahasha yenye cheti! Nikaanza safari ya kurudi taratibu kwa mguu huku nikiangalia barabarani kwa umakini kama nitaona bahasha.
Ghafla nikakutana wa wale wazee halafu lile zee lililokuwa lina mgogoro wa shamba na familia yetu ndilo limeshika cheti changu anakisoma huku anawaambia wenzake "watoto wote wa huyu mwanamke (mama yangu) Wana akili Sana darasani.
Nikaanza kwa kuwasalimia na kuwabembeleza wanipe Ile bahasha. Lile zee likakazana kusema "ulitupita pale bila kutusalimia hivyo hatukupi hii bahasha, kwanza nachana hichi cheti" Hapo ndipo Wazo La Kuua liliponijia kwa Mara ya kwanza katikati maisha yangu. Yaani mtu anataka kutunyang'anya shamba na Cheti changu akichane kweli?
Wenzake ndiyo wakawa wanamzuia asikichane, baadae sana akanipa ila kwa mbinde sana cheti kikiwa kimekunjika-kunjika kama mchicha wakati muda mfupi uliopita kilikuwa kipya.
Ana bahati, angechana Cheti changu, ningetafuta mbinu yeyote anitambue.
Je, Umewahi kuwaza kuua mtu? Chanzo kilikuwa nini?
Ukiua utauawa. Fikiria unayetaka kumuua angekuwa ana mawazo maovu kama yako juu yako ungetaka iweje na ungemshauri nini? Hicho ndicho ninachokushauriWaovu hawazaliwi wakiwa hivyo bali ni matokeo ya uminywaji wa haki na Uonevu katika Jamii. Hata magaidi au wanaotekeleza mauaji ya kinyama, lazima Kuna sababu nyuma yao.
Miaka ya nyuma nilienda shuleni kuchukua cheti Cha O-level. Nilfunga bahasha kwenye baiskeli nikawa nikiendesha speed. Kuna wazee niliwakuta tunafahamiana, Kati yao kulikuwa na mmoja ana mgogoro wa shamba na familia yetu, alikuwa anang'ang'ania shamba letu na anakiri wazi kuwa anafanya hivyo kwa sababu hayupo tayari kuona mjane akiwa na ardhi kubwa Kuliko yake.
Nikaona hakuna haja ya kusalimia, nikawapita kwa kasi kufika mbele nikagundua nimedondosha bahasha yenye cheti! Nikaanza safari ya kurudi taratibu kwa mguu huku nikiangalia barabarani kwa umakini kama nitaona bahasha.
Ghafla nikakutana wa wale wazee halafu lile zee lililokuwa lina mgogoro wa shamba na familia yetu ndilo limeshika cheti changu anakisoma huku anawaambia wenzake "watoto wote wa huyu mwanamke (mama yangu) Wana akili Sana darasani.
Nikaanza kwa kuwasalimia na kuwabembeleza wanipe Ile bahasha. Lile zee likakazana kusema "ulitupita pale bila kutusalimia hivyo hatukupi hii bahasha, kwanza nachana hichi cheti" Hapo ndipo Wazo La Kuua liliponijia kwa Mara ya kwanza katikati maisha yangu. Yaani mtu anataka kutunyang'anya shamba na Cheti changu akichane kweli?
Wenzake ndiyo wakawa wanamzuia asikichane, baadae sana akanipa ila kwa mbinde sana cheti kikiwa kimekunjika-kunjika kama mchicha wakati muda mfupi uliopita kilikuwa kipya.
Ana bahati, angechana Cheti changu, ningetafuta mbinu yeyote anitambue.
Je, Umewahi kuwaza kuua mtu? Chanzo kilikuwa nini?
Hadi mtu atake kuchana cheti, ni mawazo mema hayo?Ukiua utauawa. Fikiria unayetaka kumuua angekuwa ana mawazo maovu kama yako juu yako ungetaka iweje na ungemshauri nini? Hicho ndicho ninachokushauri
Una hasira sana
Na unapenda kuingilia ugomvi wa wakubwa
Siku zote pambana kudhibiti hasira zako. Utakula hasara ukijiendekeza
Anaongea pumba huyo muache mkuuuuuUgomvi wa wakubwa mtu anataka kuzulumu mali ya familia?
Anaadhani Hilo shamba likichukuliwa watakaohisi njaa Ni wakubwa tu😅Anaongea pumba huyo muache mkuuuuu
Safi sana 💯💯 we choko cocastic sio kila mtu ni dhaifu au choko kama ww ufala wako uache huko huko kwa machoko wenzako udsm muendelee kupakuana vizuri tu,,,,,,,,,Kuna mzee mmoja niligombana nae kisa tulibishana kwenye ukumbi wa mpira ilikuwa Real Madrid na Barcelona (El Classico). Na mie nikiwa ni Team Ronaldo.
Mie nilikaa kimya ila yule mzee akawa anaongea shit sana, kuwa najifanya mjuaji mara ooh najifanya nina pesa na maneno kibao ya kukera.
Kiuhalisia mie huwa sio muongeaji sana, huwa naamuaga kukaa kimya maana nikiwa na hasira nakuwa na kigugumizi ghafla na kuanza kutetemeka. Sasa yule mzee ndio ikawa point kwake maneno kibao mie namchora tu.
Mpira ukaisha ile tunatoka yule mzee akawa anasema huyu mtoto lazima nimkomeshe tu na shit kutosha.
Alivyosema hvo nikajawa na gesi sio kawaida sikuongea na mtu nikaenda moja kwa moja hadi Gas station (sheli) nikanunua petrol lita 5 nikarudi hadi mtaani nikavizia kwenye saa 8 usiku nikaenda hadi kwake na nikaanza kuimwaga ile petrol kuizunguka nyumba ya yule mzee lengo langu niwateketeze yeye na familia yake.
Ile nakaribia kumaliza kumwaga ile petrol kidogo jamaa angu huyu hapa kumbe alikuwa ananifatilia tokea muda.
Jamaa kafika pale akanirukia kapiga kidumu kule akaanza kunisihi niache kufanya maamuzi kama yale. Hapo mie nimejaa sio kawaida.
Kiukwel ikabidi niache lakini ndio ikawa pona yake yule mzee na family yake.
Lakini sikuishia hapo maana nilikuja kumvunja mguu baada ya miezi kama mi3 mbele hivi.
Hahaha kwa kweli,,,,,,, mi mwenyewe siku izi sioni soo kugombana na watu wazima maana hata wapumbavu huzeeka,,,,,, nikikuheshimu, nategemea unifanyie hivyo hivyoAnaadhani Hilo shamba likichukuliwa watakaohisi njaa Ni wakubwa tu😅
Quote
Ulipanga Nini mkuu😅😅😅😅Ule mwaka CCM waliboresha vikundi vyao vya kiharamia vikiongozwa na waziri mmoja mwizi anayejiita mzalendo...I think ilikua 2010 na wakaweka mojawapo ya kambi kigamboni. Aiseee nilipata zile taarifa.... anyway tuishie hapa
Kamba ya katani 😁😁Kuna mzee mmoja niligombana nae kisa tulibishana kwenye ukumbi wa mpira ilikuwa Real Madrid na Barcelona (El Classico). Na mie nikiwa ni Team Ronaldo.
Mie nilikaa kimya ila yule mzee akawa anaongea shit sana, kuwa najifanya mjuaji mara ooh najifanya nina pesa na maneno kibao ya kukera.
Kiuhalisia mie huwa sio muongeaji sana, huwa naamuaga kukaa kimya maana nikiwa na hasira nakuwa na kigugumizi ghafla na kuanza kutetemeka. Sasa yule mzee ndio ikawa point kwake maneno kibao mie namchora tu.
Mpira ukaisha ile tunatoka yule mzee akawa anasema huyu mtoto lazima nimkomeshe tu na shit kutosha.
Alivyosema hvo nikajawa na gesi sio kawaida sikuongea na mtu nikaenda moja kwa moja hadi Gas station (sheli) nikanunua petrol lita 5 nikarudi hadi mtaani nikavizia kwenye saa 8 usiku nikaenda hadi kwake na nikaanza kuimwaga ile petrol kuizunguka nyumba ya yule mzee lengo langu niwateketeze yeye na familia yake.
Ile nakaribia kumaliza kumwaga ile petrol kidogo jamaa angu huyu hapa kumbe alikuwa ananifatilia tokea muda.
Jamaa kafika pale akanirukia kapiga kidumu kule akaanza kunisihi niache kufanya maamuzi kama yale. Hapo mie nimejaa sio kawaida.
Kiukwel ikabidi niache lakini ndio ikawa pona yake yule mzee na family yake.
Lakini sikuishia hapo maana nilikuja kumvunja mguu baada ya miezi kama mi3 mbele hivi.
Umejuaje Kama Ni kamba?Kamba ya katani 😁😁
Ubishane kwenye Mpira eti uende kuchoma nyumba ya mshabiki ucku hapo hamjagombana ila ni maneno tuu,kambaUmejuaje Kama Ni kamba?