Aisee,nilikuwa na fundi ninaemuamin sana na alinijengea nyumba kadhaa mimi nikiwa mbali na ziliisha vizuri nami nilikuwa naridhirika.Sasa nilikuwa na nyumba moja niliijenga kwa shida baada ya kibarua changu kuisha but nikawa nimeezeka tu,so nyumba ilikaa muda mrefu mpk likawa chaka la wabakaji,wezi ikafikia muda nikaitwa na serikali ya kijiji kuwa nitafute mbadala Kwan hilo jengo ni hatarishi kwa jamii.So nikamwiita fundi yule wa siku zote tushariane namna ya kufanya,akanishauri nichukue mkopo pahala angalau niwezeke madirisha wakati najipanga.Si kawaida yangu kukopa but ilibidi niende pahala nikope milioni 5.Kwa sababu mie naishi mwingine.Tukapiga hesabu tukaona milioni 4.5 inatosha kumaliza na kufitisha madirisha.Mie ili kuepuka kutumatuma pesa ikabidi nimwamini km siku zote nikamtumia pesa yote na kutolea. AISEE huu ni mwaka wa 3 Kwan baada ya kupata pesa ile alihama mkoa na kuhamia dodoma .Ndo siku ya kwanza kulia machozi huku nacheka.Nimemwekea nadhiri moyoni
Sent from my SM-G531H using
JamiiForums mobile app