Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
- Thread starter
-
- #21
Mbele ya Sheria ipi bila Hela mkuu? Mkono mtupu haulambwi. Kuna kisa kinginge nitakileta nilimuweka mtu ndani baada ya masaa nikakutana naye anadunda mbele yangu kwa dharau nikadhani alitolewa kwa dhamana laki hamna.Huyo mzee ungemuacha akichane cheti kisha mziki wake unampeleka mbele ya sheria ndo atajua nini maana ya kusotea chetiš¤£
For sureWachawi sio lazima wabebe manyanga
Hilo zee halifai
Kungekuwa na uwezekano wa kurudisha siku nyuma sasa si kila siku ungekuwa unarudi nyuma? Maendeleo yako ungeyafanya lini?Sijawahi. Ila kuna mambo yanatokea mpaka mtu unatamani siku zirudi nyuma. Usijuane na hao wazinguaji
I agreeEverybody is a killer if you push them far enough āš¾
Mimi nilijua umefaulu sanaMoja ya vitu naogopa na sipendi mtu anizoee ni cheti Cha form four yaani cheti Cha form four nakihusudu Sana Bora mtu achane Cha ubatizo naweza msamehe lakini sio form four maana nimesoma shule za gharama Sana Hadi form four ,
Halafu kirahisi tu, mtu anakuja kusema Nye Nye NyeMoja ya vitu naogopa na sipendi mtu anizoee ni cheti Cha form four yaani cheti Cha form four nakihusudu Sana Bora mtu achane Cha ubatizo naweza msamehe lakini sio form four maana nimesoma shule za gharama Sana Hadi form four ,
Ndiyo mkuu, karibuSasa naona watu wamewaza na tulio jaribu kuua tukafeli tunacoment hapa hapa?
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Mimi nimesoma Kemibos Bukoba ada mwaka 2011-2014 ilikuwa kwa mwaka Mil3. Sasa wewe unafikiri mchezo Mkuu???Mm nilijua umefaulu sana
Nilishajaribu mara hizi 2 nikafeli na ninaona nitakuja kujaribu tena maana kuna watu wanachukulia jasho la mtu kama maslahi kwaoNdiyo mkuu, karibu
Sema kuua sio jambo zuri jambo zuri ni kukaa mbali na watu wabaya.Alafu kirahisi tu, mtu anakuja kusema Nye Nye Nye
Du lkn ulimchana..Kuna jamaa alikuja na idea ya biashara flani hakuwa na hela. Aksniambia tuunganishe nguvu mm nikatoa kiasi na yeye akatoa kiasi. Nakumbuka nlitoa 2mln yy sijui alitoa ngapi ila aliniambia tu after 1 week angenirudishia na riba ya laki 3 katika kila 1 mil. Nikaona hii iko poa.
Nikampa hatukuandikishiana ppt.
Nakumbuka nlichomoa hela kweenye hela ya serikali nlikuwa na project binafsi ila nlipewa hela na serikali kama 4 mil hivi.
Jamaa alikuja kunipa hiyo hela baada ya mwaka mzima kupita tena bila riba for sure nataman kumtoa upepo sina jinsi tu
Hata mkiandikishiana dhulumaji litakudhulumu tu na makaratasi yako mkononiLakini Nadhani umejifunza kitu. Swala la hela huwa linaenda sambamba na maandishi
Wakina mzee dingi haoHata mkiandikishiana dhulumaji litakudhulumu tu na makaratasi yako mkononi