Uliwezaje kuukubali ukweli kuwa sasa wewe ni mtu mzima? Bado sijui nimefikaje gorofa ya 30!

Hapo kwenye makaburi umegusa penyewe,
 
Ukubwa majukumu. Kuzeeka lazina, kuchakaa uamuzi
Ronaldo ni mdogo kwa Rooney
Masudi kipanya ana miaka 52, Dully sykes 42, Kikwete 73, mzee. Ruksa 98, Magufuli alikufa na 62, Skudu ana 30, Onyango 25. Umri ni namba tu usiogope
Kabisa na kuacha kupiga nyetoh
 
😂😂😂
We jinga kweli.

Hiyo ndio tabia yangu.
Hapa najiuliza kwa nini nafanya hivyo wakati madogo wanaonyesha adabu ya kweli kabisa alafu nawaletea utani
Nawaenjoy tu.unakuta unakuta na kundi la wanafunzi kibao wanaenda shule au wanarudi shule.unajikuta unakula shikamoo za kutosha.sasa badala ya kuchukia uwa naaamua kuwaletea utani.
 
Yaani, imagine kifusi kimemfunika, na hatambui lolote, maisha haya ukiwaza sana unaweza kufuru kwanini upo hadi leo unashuhudia haya mambo.
Kabisa na watu wakishafunika udongo hawana habari tena na wewe. Haya maisha ni kheri utafute furaha yako ilipo maana hata preshar za umri husababishwa na kuangalia wengine wanatuchukuliaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…