Frankmaarufu
Member
- Sep 26, 2022
- 49
- 24
Naomba kujua ni lodge za namna gani? au ni lodge zote zina huo utaratibu wa kuniunga freemasonNdugu yangu punguza jazba.
Ni marufuku kushawishi mtu kuingia kule, Bali mtu mwenyewe kwa nafsi yake huridhia kuingia kule.
Kujiunga na FREEMASONRY unatakiwa kwenda kwenye lodge karibu yako mwenyewe kwa hiari ukaombe nafasi ya kuwa mwanachama.
Huko Kuna hoteli maalumu hutumia kufanya mkusanyiko.Unguja ofisi zipo?
Kwa dar es salaam, ofisi zao zipo posta mkabala na hoteli ya Kilimanjaro, na benki kuu ya Tanzania.Naomba kujua ni lodge za namna gani? au ni lodge zote zina huo utaratibu wa kuniunga freemason
Kama nani?Freemason sio ya kila mtu, Ina watu wake.
Utaratibu upo hivi.Naomba kujua ni lodge za namna gani? au ni lodge zote zina huo utaratibu wa kuniunga freemason
Huko Kuna hoteli maalum hutumia kufanya mkusanyiko.Kwa Mwanza wapo wapi
Hapana huwezi kumtoa kafaraJe nikimtoa kafara Mpwayungu Village naweza kupata kiasi gani
Naomba kupajua tafadhaliHuko Kuna hoteli maalum hutumia kufanya mkusanyiko.
Nianze na wewe doctor G,Kama nani?
Huwezi kupajua kwa sababu wewe sio mwanachama au mshirika wao, nenda lodge ya dar es salaam ukaombe nafasi.Naomba kupajua tafadhali
Kabla mwanadamu hajashushwa duniani Basi Hawa viumbe walitembea kila pande,nimeliona jibu ila inanipa shida sana kuamini kuwa shetani yule wa kwenye vitabu yupo na anakuja duniani na kuendesha magari
Kuna mtu anazungukaga na fomu akidai yeye ni muhusika wa freemason na ukimtazama ana Pete zenye mchoro unaohashiria vipi kuna ukweli wowote hapo mkuuHuwezi kupajua kwa sababu wewe sio mwanachama au mshirika wao, nenda lodge ya dar es salaam ukaombe nafasi.
Ndugu yangu ngoja nikufahamishe, ikiwa wewe unataka kumfumania mkeo si utamvizia umkamate kwani utaonesha ishara au dalili za kutaka kufumania.ndagu si zipo kwanini usitoe ndugu zako ukatajilika? huu pendi utajili? taja mtu freemason alie wahi kutoa kafara kama sio ndagu za kipumbavu? si nimetoa web yao? shida nini ,au upo kwenye mtandao wakutaka muwa shawishi watu muwatapeli? ingia kwenye web yao uta subcribe ,ili upate masomo yao baadae ndo utaamua ujiunge nao kwa kujaza form unapewa namba za simu za secretaly wa freemason hall uliyo kalibu nayo wajue unasifa za kuwa member?.shafanya research za hawa jamaa,kuondoa utata wanawake nao wanaluhusiwa, mda wote wako free kwa watu kuwa tembelea kulingana na ratiba zao za kazi...shida si kafara kajiunge sasa?,kule wanajiunga elite wanaojielewa sio kama mandagu yetu tuna maliza ndugu zetu ambao wange tu saidia
Nafaidika na nini hasa?Nianze na wewe doctor G,
Je unaweza kuuza nafsi yako kwa shaytan kwa miaka 20, halafu uwe kuzimu kwenye mateso huku ukisubiri hukumu na Moto wa jehanamu.
Marehemu Mzee Chande,Marehemu yupi toa swali nokuelewe vizuri.
Freemason hawajitangazi kwa njia hiyo, wao Wana nembo zao ( 2B1 ASK 1 ) kwenye kofia, tisheti, shati, suruali, au stika kwenye gari, Basi huyo ni mwanachama unaweza Kumuuliza akakuunga au avae Pete ya freemason lakini haitakiwi kujitangaza nasio vinginevyo.Kuna mtu anazungukaga na fomu akidai yeye ni muhusika wa freemason na ukimtazama ana Pete zenye mchoro unaohashiria vipi kuna ukweli wowote hapo mkuu
Freemason ni sahihi.Hivi ni Freemason au freemasonry