Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

"Mkuu wa Giza mwenye kutoa Mwanga kwa ulimwengu".

Mkuu hapo sijakuelewa, inawezekanaje mkuu wa giza atoe nuru/mwanga kwa ulimwengu ?

Wakati yeye tayari ni mkuu wa giza maana yake huyo mwanga autoe wapi wakati yeye ni giza
 
Mkuu wa Giza ni Lucifer.
Kutoa mwanga maana yake kuwasaidia viumbe wake shida zao, kuwapa nguvu, Mali, uwezo, na kile wanacho taka kwa makubaliano ya kuuziana utu na nafsi.
 
Umetelekeza uzi uliouanzisha umekuja kufungua uzi mwingine ili iweje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…