Uliza swali lolote kuhusu FREEMASONRY utapata majibu kwa usahihi

Mkuu wa Giza ni Lucifer.
Kutoa mwanga maana yake kuwasaidia viumbe wake shida zao, kuwapa nguvu, Mali, uwezo, na kile wanacho taka kwa makubaliano ya kuuziana utu na nafsi.
Ok sawa.

Huwa naskia wacha Mungu wa upande wa Wakristo wanasema kwenye biblia mlitabiriwa kuwa mtaitawala dunia kwa muda wa miaka elfu moja pekee.

Swali langu kwako, Je utawala wenu umebaki miaka mingapi hasa ufike mwisho wenu ? Au ni mwaka gani mlianza kuitawala dunia ?
 
Hili si kweli, hebu leta orodha ya neno ama andiko.

Lengo la mkuu wa Giza ni kuondoka na wafuasi wake katika jehanam, hivyo Mungu ndio ataamua lini iwe mwisho. Hizo tetesi zingine ni stori za uongo.
 
Hili si kweli, hebu leta orodha ya neno ama andiko.

Lengo la mkuu wa Giza ni kuondoka na wafuasi wake katika jehanam, hivyo Mungu ndio ataamua lini iwe mwisho. Hizo tetesi zingine ni stori za uongo.
Ok sawa, ndo maana huwa naskia, so sina andiko ila naskia wakristo wakosema hivo.

Mmojawapo ni PASCHAL CASSIAN, mshindi wa bongo star search mwaka 2009.

Alikuwa freemason kwa sasa ameokoka na anamwabudu Mungu wa kweli.
 
Hili si kweli, hebu leta orodha ya neno ama andiko.

Lengo la mkuu wa Giza ni kuondoka na wafuasi wake katika jehanam, hivyo Mungu ndio ataamua lini iwe mwisho. Hizo tetesi zingine ni stori za uongo.

Mbona USA na uingereza Freemason ukiingia unakuta hamna mtu kabisa mpaka ubahatishe awepo ndio akuunge na watu wengi hawataki kabisa ila afrika sababu ya umaskini na kutokuwa na elimu wanaona dili
 
DP World wamepewa mkataba wa miaka mingapi?
 
Ok sawa, ndo maana huwa naskia, so sina andiko ila naskia wakristo wakosema hivo.

Mmojawapo ni PASCHAL CASSIAN, mshindi wa bongo star search mwaka 2009.

Alikuwa freemason kwa sasa ameokoka na anamwabudu Mungu wa kweli.
Ndugu yangu usipoteze muda wako kwa gharama nyingi kumsikiliza huyu Pasco.

Hana anachojua kuhusu FREEMASONRY ndio maana you hai Wana mwacha abwa bwaje.

Hebu fikiri kanumba kwanini aliondoka kwanini Pasco abaki. .

Umepata mwanga Sasa.
 
Mkuu wa Giza ni Lucifer.
Kutoa mwanga maana yake kuwasaidia viumbe wake shida zao, kuwapa nguvu, Mali, uwezo, na kile wanacho taka kwa makubaliano ya kuuziana utu na nafsi.
Umenena vyema kuwa "mkuu wa giza ni lucifer"

Na kusema kuwa "mwanga ni lucifer kuwasaidia viumbe wake shida zao kwa makubaliano ya kuuziana nafsi na utu".

Swali langu kwako : Kama lucifer hawa ni viumbe wake, kwanini asiwasaidie bure mpaka wauziane nafsi na utu ?

Maana kiumbe kama ni wako mimi nafikiri unampa kila kitu free
 
Mbona USA na uingereza Freemason ukiingia unakuta hamna mtu kabisa mpaka ubahatishe awepo ndio akuunge na watu wengi hawataki kabisa ila afrika sababu ya umaskini na kutokuwa na elimu wanaona dili
Sikiliza mkuu, ni Bora uishi miaka 100 gerezani kuliko FREEMASONRY.

Ni mateso makubwa mno usione fahari watu kumiliki v8.

ila nitakupa mwanga zaidi Tena mzuri
 
Jibu unalo mwenyewe.

Ulishawahi kujiuliza kwanini uliumbwa na Mungu Mwenyezi.
Kwanini umtumikie Mungu, kwanini ufuate amri na utaratibu wake.

Ukiweza kujijibu maswali hayo Basi kinyume chake ni jibu kuhusu swali lako.
 
HAKUNA MASWALI KILA KITU KINAFAHAMIKA KIPO KWENYE VITABU, VIDEOS NA AUDIO. HAKUNA SIRI. KUNA KIPINDI NLIWAHI WAPIGA SANA WATU PESA. NAMI NILIJIDAI NI FREEMASON NIKAWAAMBIA NIWAPE ELIMU WALETE NA MASWALI. NLIWALA SANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…