Uliza ujibiwe kuhusu madini, gesi na mafuta

Asante kwa kushukuru mkuu. Tunaweza wasiliana PM kwa maelezo zaidi na zaidi kama utakuwa umevutiwa zaidi na biashara hii kwa hapa Tanzania. But siyo kweri watu wote wanapiga tu pesa na wale wanaopoteza wapo wengi tu.

Sawa mkuu ntakutafuta
 
Mkuu naomba utaratibu wa kupata Export Permit ya kusafirisha madini nje ya nchi tafadhali
Mkuu unatakiwa uende offisi ya madini uliyonayo karibu, ukienda huko watachukua sample kwa ajiri ya testing kama ni metal ambazo testing zinafanyikia Dodoma GST na wao maafisa madini watapeleka but garama za kwako, kama ni vito watapeleka kwa valuer wao ili atasimini. Baada ya mtasimini au majibu ya laboratory madini yatajulikana bei yake kisha utaambiwa ulipie mrahaba(royality) na kisha taratibu za kuomba kibali cha export permit ambacho hutolewa dodoma kwa katibu mtendaji wizara ya madini.
Ili uombe kibali unatakiwa uwe na viambatanisho
vifuatavyo.

1. Leseni yako kuchimbia, utafiti madini au dealer licence ya kuonesha wewe ni mnunuzi

2. Uwe umelipia royality fees uliyokadiriwa baada yaajibu ya mabala au mtasimini

3.Uwe na documents ikionesha mzigo wako umekaguliwa na kupigwa seal na maafisa madini wakishilikiana na police, afisa usalama na TRA (ukifika ofisi za madini tu ni kazi yao kuwakusanya hao maafisa wangine)

Mkuu maelezo hayo ni kwa ajiri ya export permit uwe unaenda kuuza, mabala au kutumia mwenyewe. Export permit application inagarimu $100, haijarishi ubukwa wa mzigo bei ni hiyo hiyo yani mwenye 1tan ya gold na 1grams of gold export permit garama yake ni ileile.

Mkuuu kama sijakujibu vizuri unaweza uriza tena. Asante kwa swali lako.
 
Mkuu nakujibu kama ifuatavyo

Kunaaina zaidi ya 2000 za madini, kwa maelezo yakoni ngumu sana kutambua ni aina gani lakini nitajaribu kufafanua hapo chini na unaweza google majina niliyoandika ili upate picha za internet ufananishe na hayo uliyona

1. madini jamii ya Garnet ambayo yako mekundu, meusi zambalau na pink. Haya yanasoko kama nimakubwa pia yanamuonekano mzuri wa ubora i mean (quality and size of one piece)

2.Madini ya kama shaba haya nazani zitakuwa sulfide minerals ambazo huwa ni mchanganyiko wa chuma shaba na sulfur (pyrite,chalcopyrite etc), hayana issue sana haya mkuu.
3. Madini yanayobanduka yaweza kuwa mica minerals (madini ya ulanga) haya nayo soko lake na biashara yake ngumu sana.

Mkuu nimekujibu kwa hisia tu, kwa maana unaweza letewa madini na usiweze kuyatambua hadi yaende kwenye vipimo, sasa leo umenisimulia na ninajaribu kwa kubashiri kutokana na sifa ulizotaja. Hivyo naweza kuwa nisiwe sahihi katika majibu. Utafiti ukifanyika au sample ukipeleka mabara au mtaalamu wa madini akiyaona unaweza pata majibu sahihi zaidi.

Kama sijakujibu vizuri unaweza uliza tena kwa namna nyingine. Karibu sana

kuna sehemu kando ya korongo msimu wa mvua utakuta mawe madogo madogo yenye rangi ya Pink nyekundu rambarau nilifatilia mkondo wa maji ulipotokea na kukuta unaelekea katika sehemu ni kichaka cha muda mrefu sana toka nipo mdogo na ni miti aina moja tu imeota hapo kijiji chote hakuna miti iyo nilifanikiwa kupata jiwe dogo kiasi lenye rangi ya zambarau iliyopauka na lingine jeus ila kwenye mwanga linakua zambarau ni madini gani hayo.

pia kuna miamba katika mlima unakuja mstari umenyooka una mawe mekundu yalio kama dam ya mzee kila mstari umeelekea sehem yake sehem hiyo hiyo kuna vitu vinarangi ya copa iv vinangaa sana na vina banduka kama vitungu na kusagika kabisa. wakat wa mvua miamba hiyo meus huwa na vimchanga vinavyongaa hata utapogusa miamba hiyo hubakia mkononi vikingaa
 
Mkuu nakujibu kama ifuatavyo
Kunaaina zaidi ya 2000 za madini, kwa maelezo yakoni ngumu sana kutambua ni aina gani lakini nitajaribu kufafanua hapo chini na unaweza google majina niliyoandika ili upate picha za internet ufananishe na hayo uliyona
1. madini jamii ya Garnet ambayo yako mekundu, meusi zambalau na pink. Haya yanasoko kama nimakubwa pia yanamuonekano mzuri wa ubora i mean (quality and size of one piece)
2.Madini ya kama shaba haya nazani zitakuwa sulfide minerals ambazo huwa ni mchanganyiko wa chuma shaba na sulfur (pyrite,chalcopyrite etc), hayana issue sana haya mkuu.
3. Madini yanayobanduka yaweza kuwa mica minerals (madini ya ulanga) haya nayo soko lake na biashara yake ngumu sana.
Mkuu nimekujibu kwa hisia tu, kwa maana unaweza letewa madini na usiweze kuyatambua hadi yaende kwenye vipimo, sasa leo umenisimulia na ninajaribu kwa kubashiri kutokana na sifa ulizotaja. Hivyo naweza kuwa nisiwe sahihi katika majibu. Utafiti ukifanyika au sample ukipeleka mabara au mtaalamu wa madini akiyaona unaweza pata majibu sahihi zaidi.
Kama sijakujibu vizuri unaweza uliza tena kwa namna nyingine. Karibu sana

nilinayo ni rangi zambarau light ikiwa imeshikAmana na yale mawe meupe yale ukiyagongesha yanawaka
 
manengelo aseee na assume huyu jamaa ndio angekua mumeo halafu wewe ndio mke...Sipati picha hii tanzania jinsi ambavyo ingetifuliwa juu chini hadi hivyo vidude vinavyojiita madini vitokezeee...Maana kwa elimu ya jamaa ukajumlisha na Passion yako kwenye haya makitu(madini) asee sipati picha sjui kama hata kuna siku mtapiga story zingine kwakweli.

Maana sio kwa nondo anazoshusha huyu kiumbe,japo kiswahili chake kama vile cha JUMA SHAROBARO ila nimemwelewa asee hili jamaa litakua ndio wale mkiwa chuo siku za kwenda intercollege au Bash yeye anabaki tu anasoma zake na mkitabu wake...
 
😂😂😂Hao tunaita walikua wanasomea kijiji😅..huyu ni Kakangu best!yuko smart sana sana!amepiga hatua sana san..ukiskia Mungu kuniweza mimi aliniweza😔😔😔!
 
una safari ndefu kwakweli,sema una mi bahati hujajua tu ASSET ya mtu wa namna hii unayo nini kinaleta ma problema aseeee...tumia hawa watu yani mi ningemganda hata KUPE anasubiri.

ila one day yes Chibonge wangu manengelo mshindo utao upiga najua JF nzima itachafuka...nakuelewa hunaga husda wala mkono mfupi...tukiskia tu PAAAAAAA tunajua mane kashaotea huko...wakwenda BAR kuagiza tunatanguliaga mapemaaaaa kuendelea kuagiza..
 
ila one day yes Chibonge wangu manengelo mshindo utao upiga najua JF nzima itachafuka...nakuelewa hunaga husda wala mkono mfupi...tukiskia tu PAAAAAAA tunajua mane kashaotea huko...wakwenda
😂😂BAR kuagiza tunatanguliaga mapemaaaaa kuendelea kuagiza..

😂😂 Shida ya wanaume wa kibongo ni 1..hatak mkewe ampite kipato😑! ila wangu hana shida kwasasa kwasababu lazima aone aibu mwenyew akinizuia..lazima roho imsute kbs!

yaan nimepima makinikia yangu yanasoma fresh ww niombee tu..ukiona dec sionekani humu jua paah😂😁!
Nnachoshukuru natumia fursa za akili yangu mubashara...sema nateseka sana!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Kwanza asante kwa pongezi zako, lakini GPA yangu ni bellow 3. Pia asante kwa kuniitia Dada yangu. Huwa sijui namna ya kuwaita, unaweza nielekeza namna ya kumuita member au kumtag?
manengelo aseee na assume huyu jamaa ndio angekua mumeo halafu wewe ndio mke...Sipati picha hii tanzania jinsi ambavyo ingetifuliwa juu chini hadi hivyo vidude vinavyojiita madini vitokezeee...Maana kwa elimu ya jamaa ukajumlisha na Passion yako kwenye haya makitu(madini) asee sipati picha sjui kama hata kuna siku mtapiga story zingine kwakweli.

Maana sio kwa nondo anazoshusha huyu kiumbe,japo kiswahili chake kama vile cha JUMA SHAROBARO ila nimemwelewa asee hili jamaa litakua ndio wale mkiwa chuo siku za kwenda intercollege au Bash yeye anabaki tu anasoma zake na mkitabu wake...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Wacha hizo Dada, wewe ndiyo unaniweka mjini nikiwa na njaaa unanitoa shimoni. Hahaha Mungu alikuweza kwa kweri
[emoji23][emoji23][emoji23]Hao tunaita walikua wanasomea kijiji[emoji28]..huyu ni Kakangu best!yuko smart sana sana!amepiga hatua sana san..ukiskia Mungu kuniweza mimi aliniweza[emoji17][emoji17][emoji17]!
 
Umenena vyema, Dada hana Husda
una safari ndefu kwakweli,sema una mi bahati hujajua tu ASSET ya mtu wa namna hii unayo nini kinaleta ma problema aseeee...tumia hawa watu yani mi ningemganda hata KUPE anasubiri.

ila one day yes Chibonge wangu manengelo mshindo utao upiga najua JF nzima itachafuka...nakuelewa hunaga husda wala mkono mfupi...tukiskia tu PAAAAAAA tunajua mane kashaotea huko...wakwenda BAR kuagiza tunatanguliaga mapemaaaaa kuendelea kuagiza..
 
Lazima uteseke ili ujifunze Dada, na ndiyo maana ni wachache walionazo nyingi kwa maana siyo wote wanaweza vumilia njia za utafutaji
[emoji23][emoji23] Shida ya wanaume wa kibongo ni 1..hatak mkewe ampite kipato[emoji58]! ila wangu hana shida kwasasa kwasababu lazima aone aibu mwenyew akinizuia..lazima roho imsute kbs!

yaan nimepima makinikia yangu yanasoma fresh ww niombee tu..ukiona dec sionekani humu jua paah[emoji23][emoji16]!
Nnachoshukuru natumia fursa za akili yangu mubashara...sema nateseka sana!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Kwanza asante kwa pongezi zako, lakini GPA yangu ni bellow 3. Pia asante kwa kuniitia Dada yangu. Huwa sijui namna ya kuwaita, unaweza nielekeza namna ya kumuita member au kumtag?

ukitaka kumuita member andika au press alama ya @ then mbele yake bila kuacha nafasi andika jina lake Utamuona akitokea kisha utam click.. kwa hivyo ukitaka kumuita dada ako unaandika @ manengelo ila hapo nilipoacha nafasi usiache...ukifanikiwa alama ya @ haitoonekana utapo reply/post ila uki reply/post kisha alama ya @ ukaiona ujue Umekosea.

Jaribu kuniita nione Perimeter

ruby garnet
 
Back
Top Bottom