Uliza ujibiwe kuhusu madini, gesi na mafuta

IMG_20220221_193034_638.jpg
 
Duuuu! Aisee we ni hatari kwenye haya mambo ya madini nipo mahenge huku morogoro mi sio mtu wa madini yani huku ruby na dhahabu nikila mahali aisee umewai fika huku
 
Asante Sana na karibu kwa swali lolote lile.2012 nilifika epanko wanapochimba spinel pia nikaenda lukande wanapochimba Ruby na maeneo yanayozunguka hapo. Sijarudi huko tena, nilikaa mwezi mmoja hivi.
Umetembelea zinapotoka Ruby ??. Maana nilipata taarifa lukande imewaka upya.
 
Je unahitaji kuwekeza kwenye Biashara ya dhahabu?. Karibu sana upate ushauri wa kutosha
 
Je unahitaji eneo la kuwekeza katika uchimbaji wa dhahabu??? Karibu sana
 
Mkuu lukande imewaka hatari kumejaa watu balaa ukipotezana na rafik yako had umpigie simu nilikua ilonga juz nikapitia njia ya mwaya gombe then lukande hatar aisee
 
Mkuu kama nikihitaji kuwekeza kwenye madini ya Vito niwe na mtaji kiasi gani?
Kwenye uchimbaji mdogo hauna kiwango chakuanzia, inategemea na urahi wa uchimbaji unapoenda kuchimba. Mfano kunasehu ili kuupata mwamba wa madini hayo unahitaji 100million wakati kunasehemu zingine unahitaji 1million. Kwa kifupi kwenye madini unaweza nenda na 1bilion unarudi mtupu na ukaenda na 1laki ukatoka na 1bilon na kinyume chake kinawezekana pia.. Inategemea umeenda kuanzia wapi naina ya madini.
 
Mkuu lukande imewaka hatari kumejaa watu balaa ukipotezana na rafik yako had umpigie simu nilikua ilonga juz nikapitia njia ya mwaya gombe then lukande hatar aisee
Bado yanatoka mengi?
 
Kwenye uchimbaji mdogo hauna kiwango chakuanzia, inategemea na urahi wa uchimbaji unapoenda kuchimba. Mfano kunasehu ili kuupata mwamba wa madini hayo unahitaji 100million wakati kunasehemu zingine unahitaji 1million. Kwa kifupi kwenye madini unaweza nenda na 1bilion unarudi mtupu na ukaenda na 1laki ukatoka na 1bilon na kinyume chake kinawezekana pia.. Inategemea umeenda kuanzia wapi naina ya madini.
Mimi mkuu shida yangu sio kuchimba naenda kama broker
 
Back
Top Bottom