THE SHADOW ONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,201
- 1,974
Kuazia $2000 na kuendelea . Inategemea na ukubwa wa kazi yako
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ruby Garnet:
Asante sana 🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuazia $2000 na kuendelea . Inategemea na ukubwa wa kazi yako
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
[emoji120][emoji120]Ruby Garnet:
Asante sana [emoji120]
Umeyapata wapi? Katika mazingira yapi?
Asante Sana na karibu kwa swali lolote lile.2012 nilifika epanko wanapochimba spinel pia nikaenda lukande wanapochimba Ruby na maeneo yanayozunguka hapo. Sijarudi huko tena, nilikaa mwezi mmoja hivi.Duuuu! Aisee we ni hatari kwenye haya mambo ya madini nipo mahenge huku morogoro mi sio mtu wa madini yani huku ruby na dhahabu nikila mahali aisee umewai fika huku
Mkuu kama nikihitaji kuwekeza kwenye madini ya Vito niwe na mtaji kiasi gani?Je unahitaji kuwekeza kwenye Biashara ya dhahabu?. Karibu sana upate ushauri wa kutosha
Nimeyapata kijijini Sana Kuna miti yenye miba mingi yaani imefungamana Yani yalipo kunahio mitiUmeyapata wapi? Katika mazingira yapi?
Kwenye uchimbaji mdogo hauna kiwango chakuanzia, inategemea na urahi wa uchimbaji unapoenda kuchimba. Mfano kunasehu ili kuupata mwamba wa madini hayo unahitaji 100million wakati kunasehemu zingine unahitaji 1million. Kwa kifupi kwenye madini unaweza nenda na 1bilion unarudi mtupu na ukaenda na 1laki ukatoka na 1bilon na kinyume chake kinawezekana pia.. Inategemea umeenda kuanzia wapi naina ya madini.Mkuu kama nikihitaji kuwekeza kwenye madini ya Vito niwe na mtaji kiasi gani?
Bado yanatoka mengi?Mkuu lukande imewaka hatari kumejaa watu balaa ukipotezana na rafik yako had umpigie simu nilikua ilonga juz nikapitia njia ya mwaya gombe then lukande hatar aisee
Dahhhh nashindwa kuyatambua kwa picture. Je niwilaya gani ??Nimeyapata kijijini Sana Kuna miti yenye miba mingi yaani imefungamana Yani yalipo kunahio miti
Mimi mkuu shida yangu sio kuchimba naenda kama brokerKwenye uchimbaji mdogo hauna kiwango chakuanzia, inategemea na urahi wa uchimbaji unapoenda kuchimba. Mfano kunasehu ili kuupata mwamba wa madini hayo unahitaji 100million wakati kunasehemu zingine unahitaji 1million. Kwa kifupi kwenye madini unaweza nenda na 1bilion unarudi mtupu na ukaenda na 1laki ukatoka na 1bilon na kinyume chake kinawezekana pia.. Inategemea umeenda kuanzia wapi naina ya madini.
Hii inaweza kuwa dhahabu nimeitoa milimani nikichimba hayo mawe yanguDahhhh nashindwa kuyatambua kwa picture. Je niwilaya gani ??
Yaweka Kuwa. Iume kwa jino Kama inabonyea ni yenyewe