Tetesi: Umakamo wa Urais Zanzibar ni Joto

Huyo Othman Masoud ni radical hatari anafanana na uamsho kwenye harakati za kujitenga tofauti na njia za kistaarabu zinazotumiwa na wanasiasa kwenye harakati zao.

The guy is very toxic kwa umoja wa kitaifa huko Zanzibar na muungano wenyewe.

Kwani kuvamia nchi nyengine na kuuwa watu wake wewe unaona ni ustaarabu?
 

Hakuna hilo jambo hapa Zanzibar na halikutokea, kwenye mchakato wa katiba ,jumuiya zote kidini zilishirikishwa na toka makusanyo ya maoni mpaka bungeni, kama wao uwamsho walihamasisha kuvunja muungano, ni kwa mujibu wa katiba, kutoa maoni ni uhuru wako, muungano sio watu muungano ni nchi, hata ukivunjika watu watakuwa Na muungano wao miingiliano yao,asilimia zaidi ya 5 tumor hilo Ana na Kenya mombasa, wazanzibari tele, Tanganyika imepakana na Kenya,Rwanda, Burundi,Congo, pia kuna uwongiliano huko mipakani,

Uk na Oman kuna wazanzibari asilimia 20 au zaidi na bado Zanzibar inapata mchango mkubwa kwa wazanzibari hao,

Isitoshe mkuu tupe ushahidi wako wa unao onyesha kuwa uwamsho wanataka kuvunja muungano, inamaana mumewaweka segerea huko kwa kisingizio cha ugaidi kumbe ni muungano, kwa nini hawashitakiwi kwa hatarisha Muungano?
 
Hakuna joto lolote
 

We inaonekana hata siasa zenyewe za Zanzibar uzijui wala hao uamsho uwaelewi walikuwa wanasimamia nini; vinginevyo usingeuliza maswali hayo.

Uamsho ni genge lililokuwa linahamasisha xenophobia visiwani kwa watu bara, udini visiwani na kujifanya wanataka Zanzibar isitawalike katika harakati zao za kutaka kujitenga.


Kiburi kilipozidi wakajifanya wanaanzisha jihad sikiliza upuuzi wao wapo tayari kupambana na vyombo vya ulinzi.


Ikafikia hatua wanafanya wanavyotaka wanavamia makazi ya watu Zanzibar na kuwachomea nyumba wakitoka hapo wanachoma makanisa; hapo sasa ndio JK akaone wanachekewa sana enough of their nonsense.


Hali ilikuwa mbaya kuna kipindi serikali ya Shein ipo kimya tu wananchi wanashangaa. Ikabidi Lowassa na mkewe waende kutoa moral support katikati ya fujo za uamsho kuwatia moyo waumini wa Lutheran na akatumia muda huo kuongea na viongozi wa upinzani kuwatuliza hao uamsho temporally.

Uamsho wamekipata walichokuwa wanakitafuta ni umburula kuwaurumia.
 
Huyo Othman Masoud ni radical hatari anafanana na uamsho kwenye harakati za kujitenga tofauti na njia za kistaarabu zinazotumiwa na wanasiasa kwenye harakati zao.

The guy is very toxic kwa umoja wa kitaifa huko Zanzibar na muungano wenyewe.
Umemaliza,hafai [emoji16]
 
Kuna wanaotaka hao viongozi wa Uamsho waachiwe kwani hakuna kosa lolote walilofanya , wanaonewa tu.
 
Kuna wanaotaka hao viongozi wa Uamsho waachiwe kwani hakuna kosa lolote walilofanya , wanaonewa tu.
Sikiliza hizo clips fupi nilizoweka mbili na tatu. Kuna sheikh anadai mtu yeyote atakaesema ‘hudumu muungano’ kichwa chake halali yao na walikuwa wanaelekea huko sio utani.

Uamsho ni genge ambalo lingepata treatment iliyowakuta Tanzania nchi yeyote duniani kwa makosa yao. They’re in the rightful place based on their crimes wala hakuna anaewaonea.
 
Mara zote naandika hapa kuwa walijihusisha na ugaidi, ila inashangaza sana namna watu wanavyosema kuwa wanaonewa.
 
Mara zote naandika hapa kuwa walijihusisha na ugaidi, ila inashangaza sana namna watu wanavyosema kuwa wanaonewa.
Ni cheap politics tu za JF na watu wasiowaelewa vizuri Uamsho.

Lowassa ilibidi aache familia yake akala Christmas Zanzibar na kurudi tena pasaka ili kuwatia moyo Christians hali ilikuwa tete visiwani at the height of uamsho movements.
 
Hafai kwako au kwa wazanzibari na ACT?
 
Mara zote naandika hapa kuwa walijihusisha na ugaidi, ila inashangaza sana namna watu wanavyosema kuwa wanaonewa.
Acheni kujitoa ufahamu wakuu, watu wanachosema kma mpaka leo jamhuri haijapata ushahidi basi iwaachie kuliko kuwasweka mahabusu miaka na miaka bila kesi kuhitimishwa.

Hata JPM aliwahi kemea hii tabia ya watu kukaa mahabusu miaka mpaka 15 na mwisho wa siku wanaambiwa DPP hana vidhibiti vya kutosha kuendelea na mashtaaka!

Kingine muache unafiki kuna kipindi kheri James alidai Lissu akiendeleza fyoko atapigwa tena na sahvi hawakosei....... Pale hageuki gaidi ila akisema mpinzani wa dola anageuka gaidi!!
El Chapo aliwahi sema; serikali huamua nani awe adui yao kulingana na maslahi yao yanavyogusawa!
 
Sasa kudai Zanzibar huru NI KOSA?
 
Acha pumba kijana, hiyo maskani ya CCM ndio nyumba za watu?
 
Nani kataja suala la dini?! Kama issue ni kudai Zanzibar, kwanini serikali unayoitetea hapa hadi kufikia kuwaita watu ni Uamsho wamewaweka jela wazee kwa kesi za ugaidi?! Tangu lini kudai Zanzibar iwe ugaidi?
Niliposema ni radicals not necessary in religious way (though they were in the end) Ila nilimaamisha njia zao za kutaka kuuvunja muungano zilikuwa uncompromising kama huyo Othman Masoud.
Hilo la dini umelitoa kutoka kwenye post yangu?! Wapi walitaka kuuvunja muungano?! Na hata kama walitaka kuuvunja muungano, sasa suala la ugaidi limetoka wapi?
Ukumbuke uamsho walitaka serikali ya Zanzibar isiendesheke kwa nguvu kwa kuingiza watu barabarani na kupambana na vyombo vya ulinzi walionywa mara kadhaa kistaarabu.
Unao ushahidi kwamba walitaka SMZ isiendesheke au bado upo katika lengo lile lile la kutumika na kuchafua watu?! Na hata kama lengo lao lilikuwa hilo, sasa Masoud uliyemfananisha na Uamsho anaingia vipi hapo?
Wahusika walikuwa wanakamatwa wanaachiwa hawasikii if anything wakitoka ndio wana andaa maandamano makubwa zaidi; wakatoka kwenye siasa na kuingiza udini na kuanza kuchoma makanisa ndipo JK akaona inatosha.
Kwahiyo serikali unayoitetea ni kwamba imewabambikia kesi kwa kuwaita magaidi?!
Wewe ndie hukuwa mfuatiliaji au labda unafanya makusudi ili kutekeleza dhamira yako ovu lakini kila aliye mfuatiliaji anajua uovu wa wale mnaowatetea na nyie vibaraka wao ndo maana kila anayetokea kuwapinga wale mnaowatetea lazima mtawapa majina ya hovyo ili kuwa-discredirt kwa jamii!!
 
Huyo ni kibaraka WA sultan
 
Kuna mtu ktk siasa asiye na agenda,unafikiri hao ACT wanamteuwa mtu bila kuangalia mtu mwenye uwezo wa kusukuma agenda zao.

Pili umenishangaza eti mwinyi hawezi kufanya kazi na mtu ambae hawafanani mtazamo.Mwinyi Ni CCM mwenzake ACT Sasa hapo mitazamo itafanana vipi.Kwahiyo Unataka kusema anatakiwa kuteuliwa mtu wa kumfurahisha Mwinyi, wa kutekeleza anachotaka Mwinyi. Mawzo ya kushangaza Sana.

Na uelewe kuwa umakamu wa kwanza wa Rais kule Zanzibar si suala la hisani, bali ni takwa la kikatiba. Kwamba kutakuwa na SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA(SUK) Maalim Seif alipendekezwa na chama chake jina likaenda kwa Rais likapitishwa akaapishwa. Hivyo ACT walikuwa na uwezo pia wa kumteuwa mwingine yeyote na si Maalim.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…