Tetesi: Umakamo wa Urais Zanzibar ni Joto

Mwenye msimamo thabiti na ambae haogopi kitu ni Mh. Juma Duni - huyo ndiye mwakilishi hasa wa misimamo ya marehemu Maalimu Seif- tulimuona wakati wa kampein alikuwa ng'ang'ari kabisa - sasa siasa za Zanzibar zilivyo si ajabu akatafutiwa sababu/kisingizio cha kumzima ili hasipewe wadhifa wa the late Maalimu - yetu macho.
 
Huyo Othman Masoud ni radical hatari anafanana na uamsho kwenye harakati za kujitenga tofauti na njia za kistaarabu zinazotumiwa na wanasiasa kwenye harakati zao.

The guy is very toxic kwa umoja wa kitaifa huko Zanzibar na muungano wenyewe.
So what ?
 
"Ukisikia husda ndio hii" Ni nani basi atakaetufaa Wazanzibar ikiwa Othman Masoud hatufai!?
 
Hili ndio tatizo lenu kutaka kufananisha serious national security concerns na kauli za wanasiasa ambazo clearly ni uropokaji wao binafsi na wala hazina baraka za viongozi wao wala wanachama wenzao kwa ujumla wake.

Kwanini mpaka leo kesi aijaisha mimi sielewi motives za serikali kwa ujumla wake maana kama ni ushahidi there is ample evidence on sedition and several other serious offences placed upon them.
 
Embu kaangalie you tube videos on what they stood for from beginning to the point of their arrest. There is enough material for any serious film maker to produce a documentary of the organisation and what they stood for.
 
Crimes za uamsho zipo wazi, we unajua ni kina nani walimpiga Lissu risasi?
..walioondoa walinzi eneo aliposhambuliwa ni sehemu ya waliopanga kumuua Lissu.

..watakuwa wametumwa na mtu mkubwa ambaye anaweza kuamrisha walinzi waondolewe ili kuwezesha shambulizi la mauaji.
 
..walioondoa walinzi eneo aliposhambuliwa ni sehemu ya waliopanga kumuua Lissu.

..watakuwa wametumwa na mtu mkubwa ambaye anaweza kuamrisha walinzi waondolewe ili kuwezesha shambulizi la mauaji.
Well then there is no evidence it remains a conspiracy you can’t use that in court, halikadhalika matendo ya uamsho yako documented for everyone to see.
 
Well then there is no evidence it remains a conspiracy you can’t use that in court, halikadhalika matendo ya uamsho yako documented for everyone to see.

..ushahidi upo.

..victim ndiye shahidi anayeaminika kuliko wote.

..na TL amesema siku aliyoshambuliwa walinzi walikuwa hawapo/wameondolewa.

..hivyo aliyepanga tukio lile lazima atakuwa mtu mkubwa mwenye mamlaka ya kuondoa ulinzi.
 
That’s just circumstantial evidence, you can’t use that in court.

Anyway laters need to go for a walk 👋
 
That’s just circumstantial evidence, you can’t use that in court.

Anyway laters need to go for a walk 👋

..it is not circumstantial evidence.

..the most credible witness in any crime is the victim of that crime.

..kesi ingekwenda mahakamani shahidi wa kwanza wa jamhuri angekuwa ni Tundu Lissu.

..na walioondoa ulinzi ili kuwezesha shambulizi dhidi ya Tundu Lissu wangekuwa ktk kundi la washtakiwa.
 
Unasahau katiba ndio inatamka mamlaka ya maalim seif,sio kumpa
 
..it is not circumstantial evidence.

..the most credible witness in any crime is the victim of that crime.

..kesi ingekwenda mahakamani shahidi wa kwanza wa jamhuri angekuwa ni Tundu Lissu.
It is circumstantial because Lissu is just implying facts there’s the need for more evidence. Mfano ushahidi wa mtu kupiga simu ulinzi kuondolewa siku hiyo etc with his argument or else the accused anaweza toa sababu 100 kwanini hakukuwa na mlinzi on that day.

Laters 👋
 
..there is a chain of command in assigning/removing security detail at a government compound.

..wahusika walioondoa ulinzi watakuwa wanajua amri na maelekezo yalitoka kwa nani.

..Ni bahati nzuri sana kwamba TL ame-survive na kueleza kilichotokea.

..huhitaji kuwa mtaalamu wa uchunguzi kubaini kwamba kuna mtu mkubwa aliamuru walinzi waondolewe ili magaidi wamuue TL.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…