Umasikini ni matokeo ya fikra na sio matokeo ya mazingira

Bila nyota au kibali utoboi,utajiri uanzia rohoni.
pesa ni roho ndio maana Ina nguvu ya kufanya jambo.
Ukiitwa tu Dili la Hela lazima furaha yako iongzeke
Sasa Nina swali hapo: Naona watu wengi wanafanikiwa Kwa Shetani na majini , je mtu akimtumainia Mwenyezi Mungu tu bila kushirikisha chochote anaweza toboa?
 
Kabisa kwann asitoboe mfano hao wazungu Wana majini gani hali tunaona wanafanya kazi kwa juhudi na maarifa.
Ipo hivi 40 kwa 40 kwa 20 maana yake.
Wapo waliopata utajiri kwa shetani na kwa Mungu na hao 20 hawapo kwa Mungu wala shetani Wala hawaamini hivi mfano wachina,warusi,nk.
 
Ok kwa wale 20 kama Wachina, wao wanatumia kanuni gani ya kiroho kama hawapo kokote?
 
Kwani we mtoa mada ni millioner or bililioner? Ni kitu gani kimekushinda wewe kuwa km muhamedi (mo) or Azam?
 
Back
Top Bottom