Umaskini ni laana; nimeamini pia maskini ana roho mbaya sana

Umaskini ni laana; nimeamini pia maskini ana roho mbaya sana

Mimi huwa nasema mtu akitaka sehemu ya mwili wangu mfano nywele au kucha aje Mimi nitaenda nae Saluni nitanyoa nywele namkabidhi akafanye anachotaka au kama ni boxer basi aje nimpe dazani. Tusitishiane na upuuzi ebo! Ila jamaa una hela duuuuh huko itakuwa Airport au Bandarini.
 
Haujapata mifereji ya pesa Kaka. Hata mimi zamani nilikuwa naamini kama wewe, ila siku ukipata kukaa kwenye njia ya pesa haya maneno yako utayafuta

Sikatai kama hamna hayo mazingaombwe lakini ukipata nafasi ya kukaa kwenye mkondo wa pesa utaelewa nini naongea
Hii nakubaliana na wewe mkuu
 
Ukiwa kapuku peke yako usidhani wote wachovu kama wewe.
Mjomba hakuna tajiri anajigamba mtandaoni Mo, Bakhresa, Bill Gates, Jeff Besoz na wengine ushawahi kuwasikia wakijitamba mtandaoni kua wana Pesa n bla bla bla sijui ndugu kufanya nini tena Bakhresa ndio huna details zake kabisa zaidi ya kujua asset zake tu, na ikakupwoteka kalipambilile maana yake ikikuuma nenda kajinyonge
 
huko itakuwa Airport au Bandarini.
Huko hakuna 3M per day Mkuu usijidanganye km akisema yupo huko aseme kabisa kua yeye ni Jambazi
baada ya mda kutokana na Tabia yangu ya ukimya na usiri mkuu wangu wa kazi akanihamishia idara ambayo baadae nilikuja kujua ni sehemu yenye michongo=wizi=ujambazi mwingi wa pesa.
Alipoingia Sehemu yenye Wizi mwingi wa Pesa, na yeye akaanza kuiba ila kwa usiri na ukimya
 
Hao ni wazee wa mastory wa Jf akijisikia anatunga tu story ili apate kuchat huyu simtofautishi na Chizi Maarifa au Bei Elekezi utofauti wao huyu anajifanya kuuvaa uhusika moja kwa moja kumbe anasahau Jengo aliloingia kurekodi clip sio la kwake maana yake akimaliza kuigiza lazima arudi kwake
We mtoto Mashallah.... U hali gani bibie?
 
Nimesha kutumia namba yangu PM mkuu, maana wewe ni chief, mkurugenzi usie na maneno mengi, huna baya zaidi ya kusingiziwa boss....[emoji4]
Ebu fanya neno moja tu PM itawaka kama dhahabu...[emoji91]
Akituma hata 10k nafuta ID yanguu[emoji1787][emoji1787]
 
"Ndani ya miezi 3 nikiwa pale nikawa niko vizuri nikanunua uwanja sehemu yenye hadhi kidogo heka 3 nikaweka mansion yangu ikiwa na uwanja wa basebal na netbal ikiwemo sehemu za kucheza watoto na mabwawa ya kuogelea"

Hakuna office yenye books of account na excel uondoke na 3m cash kila siku kirahisi, labda kama wana bustani ya kulima noti na hiyo bustani wewe ndo unapalilia noti zikizingirwa na magugu
Hongo na rushwa huwa hazipiti kwenye book of accounts
 
Back
Top Bottom