Umaskini wa nchi yetu nani alaumiwe?

Unastahili kupata like yangu

Kuzaa hovyo bila uzazi wa mpango, ushirikina, uchawi na ujinga ni moja na sababu kuu za umaskini Tanzania
 
Ujinga ....vipi na ambao hawana watoto na vita bado vikali
 
Je population ya nchi hizo Kwa square kilometer ni watu wangap. Acha kutudanganya hakuna kitu Kama hicho Africa siyo populated Kama Europe na Asia na marekani
 
Pamoja na serikali but hayo uliyoyataja Jamii husika inaweza ikayatatua.
 
Siyo kweli walifanya ya wakati wao Sasa mbona wameshaondoka kea Nini hatuendelei? Huoni Kama Kuna shida?
Wapigania UHURU afrika walipigania maslai yao binafsi na sio maslai ya waafrika wote.Bora ya wakoloni
 
Ukweli ni kwamba sisi ni maskini kwa sababu taifa letu bado ni changa sana! Na ndio ukweli halisi huo miaka sitini ni michache sana kulinganisha na mataifa makubwa ya Ulaya na Asia.

Yaani hata bado hatujabalehe ( vita vya wenyewe kwa wenyewe) ndio maana wazazi wetu wazungu bado wanatulea.
 
Hapana nchi za Asia tuna umri saw na sisi na walikuwa utumwani sawa na sisi lakini Leo wako mbali mfano Malaysia na Singapore na China yenyewe hatujafanya kitu kuchukia umaskini
 
Matajiri watachukua Kila kitu na kuwafanya watu maskini kukosa hata sehemu ya kuweka kichwa chake. Very bad
Sasa hivi wanapofukuzwa kama kule Bulyankulu na kuzikwa ndio sawa?

Ni bora kama kuuza wauze wenyewe ardhi yao kuliko kumpangia mtu maisha yake.
 
Umaskini upi na mabilioni yanaibiwa kila kona na wajinga wachache ambao tumeaminishwa ni mawaziri [emoji23][emoji23][emoji23]!

Siku ambayo tutahakikisha V8 haziendesheki na nyumbani kwa hao madhalimu hakukaliki ndo siku ambayo tutaheshimiana vizuri.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…