Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Nyerere.
Angeacha wakoloni waendelee kututawala.
Sisi kujitawala hatuwezi.
Angeacha wakoloni waendelee kututawala.
Sisi kujitawala hatuwezi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo sisi wenyewe wazembe.Hii nchi bila kufumuana heshima haiwezi kuwepo hadi Yesu ataporudi. Yani watzed siku ikifahamik kuwa tumechoka itakuwa mshike mshike na ndio mwanzo mwa ukombozi na utaifa wa kweli.
Ule ule ubinafsi na unafiki. Mtu akila akashiba na familia yake nyie hata mkifa shari yenu.Tatizo sisi wenyewe wazembe.
Sasa hivi hadi mvua ikinyesha wanaamshukuru Rais[emoji23][emoji23][emoji174]Ule ule ubinafsi na unafiki. Mtu akila akashiba na familia yake nyie hata mkifa shari yenu.
Hii mbegu imepandwa kwenye kizazi cha Y2K kuja mbele na majibu tunayaona.
Wameeondoka wameacha vizazi vyao ndio vinalamba asali hata kesho,walitengeneza misingi bora ya familia zao hazina shida japo awapo.Siyo kweli walifanya ya wakati wao Sasa mbona wameshaondoka kea Nini hatuendelei? Huoni Kama Kuna shida?
Walaumiwe CCMWadau nawasalimu Kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania. Kazi inaendelea.
Kichwa cha habari chausika. Naenda moja Kwa moja kwenye mada.
Nawaza Sana hivi ni kwanini tangu tumepata Uhuru 1961 mpaka leo neno umaskini ndo kibwagizo chetu?
Na mpaka leo tunaongea Maji Safi kijijini, shule havina vyoo, Uhuru tuliopata umetusaidia Nini Kama nchi? Mbona mimi sielewi tuliopata Uhuru wa kifanya Nini.
Lakini tuache hayo tangu tupate Uhuru tumeweza Nini Cha kuigwa duniani kutoka kwetu tanzania.
Tuna nini la kujivunia tuliyoweza Kila kitu hatuwezi yaani Kwa kweli nashindwa miaka yote hayo hatuna tulichoweza Cha kujivunia
Umaskini huu nani alaumiwe watanzania ni wavivu au nini kimetupata watanzania?
Tusaidiane shida iko wap karibun
Tunalipa Kodi kwa ajili ya Nini na unadhani watanzania hawapambani kuondokana na umaskiniCha muhimu wananchi watafute macho ya kuziona fursa na Sio kusubiria watawala ndo wawafumbue macho fursa zipo tele kuliko idadi ya watu. Cha msingi ni kupambana kusaka taarifa. Taarifa ndio mtaji wako. Unakuwa masikini kwa sababu we ni kipofu,huna macho uoni fursa tele zilizokuzunguka. Fursa tele zimejaa kwenye ardhi, kilimo, madini, nishati, sekta ya ujenzi, uvuvi. Kwa maana popote penye watu pana pesa ni wewe tu kujua nini wanataka
Maendeleo binafsi bado ni jukumu la mtu binafsi kuwa na macho ya kuzichangamkia fursa zinazomzunguka.Afrika watawala uwafanya wananchi wawe masikini Ili iwe rahisi kwao kuwatawala.So usipopambana binafsi kupata basic needs imekula kwako.T
Tunalipa Kodi kwa ajili ya Nini na unadhani watanzania hawapambani kuondokana na umaskini
Walaumiwe waTanganyika.Wadau nawasalimu Kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania. Kazi inaendelea.
Kichwa cha habari chausika. Naenda moja Kwa moja kwenye mada.
Nawaza Sana hivi ni kwanini tangu tumepata Uhuru 1961 mpaka leo neno umaskini ndo kibwagizo chetu?
Na mpaka leo tunaongea Maji Safi kijijini, shule havina vyoo, Uhuru tuliopata umetusaidia Nini Kama nchi? Mbona mimi sielewi tuliopata Uhuru wa kifanya Nini.
Lakini tuache hayo tangu tupate Uhuru tumeweza Nini Cha kuigwa duniani kutoka kwetu tanzania.
Tuna nini la kujivunia tuliyoweza Kila kitu hatuwezi yaani Kwa kweli nashindwa miaka yote hayo hatuna tulichoweza Cha kujivunia
Umaskini huu nani alaumiwe watanzania ni wavivu au nini kimetupata watanzania?
Tusaidiane shida iko wap karibun
Je kodi tunayolipa kwa serikali in faida gani kama serikali haiwezi kubadili maisha ya watu wakeMaendeleo binafsi bado ni jukumu la mtu binafsi kuwa na macho ya kuzichangamkia fursa zinazomzunguka.Afrika watawala uwafanya wananchi wawe masikini Ili iwe rahisi kwao kuwatawala.So usipopambana binafsi kupata basic needs imekula kwako.
Ukitoka wakumbuke kuwatoa pia wanaokuzunguka
Kwani mtu asingezaliwa, anapata hasara gani.Ukute waliotangulia wangeishi HIVYO unavyodai si ajabu tusingeona huu ushauri WAKO kwani yawezekana hata Baba yako asingezaliwa
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Sijazungumzia kuhusu population. Nimezungumzia family size. Unaweza kuwa na familia 10 zenye members wanne. Jumla watu 40.Je population ya nchi hizo Kwa square kilometer ni watu wangap. Acha kutudanganya hakuna kitu Kama hicho Africa siyo populated Kama Europe na Asia na marekani
Unafanya kazi nyepesi sana ya kuhoji, kuna wanaofanya kazi ngumu ya kivitendo ya kupambana na umaskini.Wadau nawasalimu Kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania. Kazi inaendelea.
Kichwa cha habari chausika. Naenda moja Kwa moja kwenye mada.
Nawaza Sana hivi ni kwanini tangu tumepata Uhuru 1961 mpaka leo neno umaskini ndo kibwagizo chetu?
Na mpaka leo tunaongea Maji Safi kijijini, shule havina vyoo, Uhuru tuliopata umetusaidia Nini Kama nchi? Mbona mimi sielewi tuliopata Uhuru wa kifanya Nini.
Lakini tuache hayo tangu tupate Uhuru tumeweza Nini Cha kuigwa duniani kutoka kwetu tanzania.
Tuna nini la kujivunia tuliyoweza Kila kitu hatuwezi yaani Kwa kweli nashindwa miaka yote hayo hatuna tulichoweza Cha kujivunia
Umaskini huu nani alaumiwe watanzania ni wavivu au nini kimetupata watanzania?
Tusaidiane shida iko wap karibun
China ni magiant kwa umri wake hata wazungu hawafikii, amefanya mambo makubwa huko kale,Hapana nchi za Asia tuna umri saw na sisi na walikuwa utumwani sawa na sisi lakini Leo wako mbali mfano Malaysia na Singapore na China yenyewe hatujafanya kitu kuchukia umaskini
Mtu anakufa kwa kukosa elfu 20 at the same time kuna mtu ana transfer billion 5O kwenda uswisiSasa hivi hadi mvua ikinyesha wanaamshukuru Rais[emoji23][emoji23][emoji174]
Viongozi Mungu atawalipa aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
Wamekaa wanakula hela,huku wakitembelea magari makali Kwa fedha za wavuja jasho..
Ila mtu hosp anakufa Kwa kukosa pesa ya kulipiwa matibabu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Anatembelea vieitee choma mafuta kwenye misafara.Mtu anakufa kwa kukosa elfu 20 at the same time kuna mtu ana transfer billion 5O kwenda uswisi