Umeamua kufunga Kwa hiari yako, kwanini ukasirike sisi tukiwa tunakula?

makubwa๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† unahisi kila mtu anadhiki na 500k? jaribu kumnunulia vitu vidogo vidogo kama kiwanja, nyumba au ukishindwa saaaana basi ka range
Nikikuta kama yaliyomo yamo namuongeza cheo anakuwa mke mdogo
 
Kama huyo baba rama arusha kafunga lakini Kila siku anawalawiti watoto wake wa kike mmoja miaka sita mwingine miezi sita ...na kafunga huyo๐Ÿค”
Takbir
Halafu unaweza kumkuta n imam msikitini Huyu, hawa ndo wale wanawalawiti watoto madrasa
 
Ni kweli kabisa wananchi wamempa kisago cha kufa mtu
 
Ukiona mtu yoyote aliefunga anakataza wengine wasile hadharani ujue huyo ni mnafiki firauni na msengemsenge tu.
Kwa sababu funga ni kwaajili ya wewe na mungu wako sisi wanadamu haituhusu.
Usengeusenge tu kila sehemu ukifika nimefunga nimefunga
 
Umenena vyema mkuu
 
Sahihi kbsa mkuu
 
Kufunga ni lazima sio hiyari nipe andiko la Quran linalosema kufunga ni hiyari
 
Kuna namna Wakristo mnateseka sana na habari za waislamu ๐Ÿค”
Hapana jamaa wanaingilia mpaka uhuru wa mtu ambao si kosa kisheria

Wanajikita kwenye makatazo ya ghafla kimhemuko

Zanzibar ni sehemu ya Tz

AU tuseme kwakuwa ni ramadhani hakuna watalii wanaovaa vikaputura kipindi hiki cha swaumu.!
 
Kufunga kwa hizi mbuzi ni kubadili tu muda wa kula. Hivi mtu unakula saa 10 alfajiri utashindwa kukaa bila kula hadi saa 12 jioni? Mimi nikila zaidi ya saa 5 usiku kesho nitakula jioni.
 
Kufunga ni lazima sio hiyari nipe andiko la Quran linalosema kufunga ni hiyari
Ni laZima Kwa waislam
Waislam walioamini ndo wanatakiwa kufanya hiyo ibada ya kufunga
Kufunga ni ibada ya mtu na Mungu sio kulazimishana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ