Sasa mbona umesema wamefunga wenyewe kwa hiyari badili andiko lakoNi laZima Kwa waislam
Waislam walioamini ndo wanatakiwa kufanya hiyo ibada ya kufunga
Kufunga ni ibada ya mtu na Mungu sio kulazimishana
Inabidi wenzetu wa visiwani wabadirikeSahihi kbsa mkuu
Bora kama walimpa kichapoNi kweli kabisa wananchi wamempa kisago cha kufa mtu
Nipe andiko la Quran kuthibisha hoja yako vinginevyo badili andikoKufunga kula ni jambo la hiari
Sio watoto tu,kuna watu wana hali ngumu kimaisha sasa inatakiwa kile chakula unachokiacha kwa sababu ya kufunga basi wapelekee hao wahitaji.Sasa unakuta limtu linatunza ili ale usikuKuna mstari kwenye Biblia unasema, unapotoa sadaka kwa mkono wa kulia, basi jitahidi mkono wa kushoto usijue ๐
Vile vile unapofunga, jitahidi hata majirani zako wasijue kuwa upo kwenye mfungo
Kwa maana hiyo, kama Mama amefunga basi anaweza kuwapikia watoto zake chakula Wakala pasipo kuwalazimisha nao wafunge
Kinachotokea huko Zanzibar, ni kama kulazimisha wote wafunge pasipo kujali maandiko ya mitume wetu
Ulitaka kusema nini Mjukuu ๐คชIla bana kiukweli kuna muda hiki kichaka cha U-Anonymous kinasaidia sana. Lol
Hahahaaa. Lol.Ulitaka kusema nini Mjukuu ๐คช
Hilo ni agizo kupitia mitume wetuSio watoto tu,kuna watu wana hali ngumu kimaisha sasa inatakiwa kile chakula unachokiacha kwa sababu ya kufunga basi wapelekee hao wahitaji.Sasa unakuta limtu linatunza ili ale usiku
We dada kuwa na huruma hivyo ni vitu vidogo vidogo kweli๐คญ๐คฃmakubwa๐๐๐ unahisi kila mtu anadhiki na 500k? jaribu kumnunulia vitu vidogo vidogo kama kiwanja, nyumba au ukishindwa saaaana basi ka range
ndio, ni vitu vidogo kabisa ukiamua kujicommit ๐คKila mtu
We dada kuwa na huruma hivyo ni vitu vidogo vidogo kweli๐คญ๐คฃ
Bora tuendelee hivi hivi na anonymous zetuHahahaaa. Lol.
Lazima nimtaje Bibi yenu, maana nyie wajukuu si mmeacha kuniletea Kiko nikiomba ๐คชnimewamiss pia๐ alf nilitaka kushangaa kulikoni maongezi yote haya na hauja mtaja bibi ila saiv nina amani ya moyo๐๐
mpe salamu zangu kabla sijafika
say no moo gran pah๐ ๐ ๐ nilete saiv au jioniLazima nimtaje Bibi yenu, maana nyie wajukuu si mmeacha kuniletea Kiko nikiomba ๐คช
Mathalani wewe nimekuomba tangu mwaka juzi hujaniletea
Jitahidi this time uniletee, maana hili baridi bila kuvuta Kiko nitakufa Babu yenu
Usifanye nikupe ahadi ya kukurithisha mashamba yangu yote ya Tumbakusay no moo gran pah๐ ๐ ๐ nilete saiv au jioni
sawa babu nakuletea kiko uvute mpaka uchoke maana na hali ya hewa inaruhusu๐๐คUsifanye nikupe ahadi ya kukurithisha mashamba yangu yote ya Tumbaku
Fanya uje hata leo Mjukuu
Maana hata Jana Bibi yako alitoka kukuulizia ๐คญ