Umefika Muda Serikali itutumie vijana kutoka Tarime ili kukomesha Masuala ya Uhalifu kwenye baadhi ya Mikoa

Umefika Muda Serikali itutumie vijana kutoka Tarime ili kukomesha Masuala ya Uhalifu kwenye baadhi ya Mikoa

Umughaka hapa umedanganya kusema watu kutoka Tarime mtadhibiti haya matukio 🤔🤔 nimeishi mabibo jeshini tena pale wanapaita kwa wakurya na hadi kwenye pool table lugha ni kkikurya tu lakini tulikua tunapiga matukio kama kawaida, Kuna siku mzee Moja mwanajeshi mstaafu alivamiwa saa 11 alfajir aiseee tulisota sana

Mkuu ninachokisema nakimaanisha!
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa mno la uhalifu unaofanywa na Vijana wadogo waziwazi!.

Kibaya zaidi uhalifu huo unafanyika mchana kweupe mbele ya wanaume legelege na wanawake wapaka wanja bila kuchukuliwa hatua zozote!.

Askari ambao tulitegemea walisaidie taifa kutoka na Moto wa Jeshi la Polisi (Usalama wa Raia na mali zake) nao wamekuwa waoga waoga hadi kupelekea uhalifu huo kushamiri!

Kwakuwa Vijana wengi kutoka Tarime tuna hali na muamko mkubwa wa kupambana na uhalifu,naiomba serikali itupe kibali maalumu na yatolewe magari yakawachukue vijana kule kwetu ili kupelekwa mikoa husika yenye usumbufu kutoka kwa WEZI,VIBAKA na MAJAMBAZI SUGU ili tukawaonyeshe namna ambavyo mtu anakula kipigo hadi anabaki kucheka badala ya kulia!.

Kuna mikoa nchi hii ni kama inataka kushindikana kwa uhalifu na Jeshi la Polisi ni kama limeishindwa!.

1. Arusha
2. Dar es salaam
3. Njombe

Naiomba serikali mlipokee ombi langu ili mlifanyie kazi kwasababu Vijana wa Tarime wapo tayari kupelekwa mikoa hiyo na kuisaidia kwasababu wakazi wa mikoa hiyo wanapata taabu sana kutoka na tu-toto tudogo ambavyo hata havitahiriwa kuendelea kuwasumbua wanaume legelege wa mikoa hiyo!.

Hatuhitaji silaha ya aina yeyote kutoka serikalini, sisi tutakwenda na mapanga yetu tu amani itarejea kama kawaida.

Mkuu Maxence Melo tafadhali nifikishie hili ombi kwa waziri wa mambo ya ndani!
Duh! Mara hii hii ninayoisikia kila leo kwa matukio?
 
Umesahau kuna mtu alitikisa tarime akijiita keno nke
mimi ni mtarime pia lakini penye ukweli tuseme
Keno Nke Pia namkumbuka miaka hiyo 2014's iv kama skosei...alikuwa ana mguu wa KUKU, anakuuliza swali ukijichanganya kujib hutaskia Paaa!
 
Keno Nke Pia namkumbuka miaka hiyo 2014's iv kama skosei...alikuwa ana mguu wa KUKU, anakuuliza swali ukijichanganya kujib hutaskia Paaa!
ndo huyo mkuu. haya mambo hayana ushujaa, mi mwenyewe wa tarime lakini jamaa alitikisa. huyu umughaka alikuwa wapi kama mwanaume kweli
 
Uliza ueleweke mkuu!
Nataka nitumie mabibo jeshini kama case study! Pale pana wakurya wengi na matukio haya yanatokea, kwanini tuamini kwamba wakiletwa wengine wanaweza kudhibiti na wakati hawa waliopo wameshindwa kudhibiti katika maeneo yao wanayoishi
 
Kwani kazi yao hao walioko hapo mabibo ni kuzuia uahlifu?,Hayo mamlaka ya kuzuia uhalifu wamepewa na nani?

Dhumuni la kuandika uzi huu ni kutaka serikali itupe mamlaka na kuturuhusu kuzui uhalifu mikoa tajwa hapo juu,sijui kama umeelewa nilichoa andika!
 
Afu kamtu kembamba lakini kaliwafanya wana tarime kulala saa kumi na mbili jioni

Acha kuleta stori za Abunuwasi wewe!

Hizo stori za vijiweni huko nendeni mkawasimulie wanawake wenzenu ambao hawaelewi chochote!
 
Kwenye huu ulimwengu wa utandawazi , tabia ya mtu haitokani na kabila bali ni mtu mwenyewe anavyojihandle.

Kwa mfano mimi kabila ni X na tangu zamani nasikia kabila langu ni waoga na wepesi wa hasira kiasi cha kuchukua baadhi ya maamuzi yasiyofaa.

Lakini nyumbani kwangu vibaka hawapiti na wananijua vyema tu, Mimi Sina msamaha na yeyote aliye tayari kutoa uhai wangu.
Unanunua manati halafu unafungia kabatini? halafu?

Nini maana ya self defense?

Halafu kwenye mkoba upo na chaja pamoja na Bluetooth airphones , upo serious kweli, mwanaume!!

Muonekano pia unawaponza, nguo za kubana, vijiraba, au visendo vya kupuuzi na mitindo ya ajabu ya nywele, kwanini usikabwe!
 
Asilimia karbia 70 ya maaskari na wanajeshi ni wakuryaa wa kutoka huko tarime unakosema....haoa hao wenye silaha na mamlaka ndo wanaoufyata....we ambae hata kisu hujui kushika ndo tukupeleke kwa Wana apoloo...si watakupakata kabisa ?
 
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa mno la uhalifu unaofanywa na Vijana wadogo waziwazi!.

Kibaya zaidi uhalifu huo unafanyika mchana kweupe mbele ya wanaume legelege na wanawake wapaka wanja bila kuchukuliwa hatua zozote!.

Askari ambao tulitegemea walisaidie taifa kutoka na Moto wa Jeshi la Polisi (Usalama wa Raia na mali zake) nao wamekuwa waoga waoga hadi kupelekea uhalifu huo kushamiri!

Kwakuwa Vijana wengi kutoka Tarime tuna hali na muamko mkubwa wa kupambana na uhalifu,naiomba serikali itupe kibali maalumu na yatolewe magari yakawachukue vijana kule kwetu ili kupelekwa mikoa husika yenye usumbufu kutoka kwa WEZI,VIBAKA na MAJAMBAZI SUGU ili tukawaonyeshe namna ambavyo mtu anakula kipigo hadi anabaki kucheka badala ya kulia!.

Kuna mikoa nchi hii ni kama inataka kushindikana kwa uhalifu na Jeshi la Polisi ni kama limeishindwa!.

1. Arusha
2. Dar es salaam
3. Njombe

Naiomba serikali mlipokee ombi langu ili mlifanyie kazi kwasababu Vijana wa Tarime wapo tayari kupelekwa mikoa hiyo na kuisaidia kwasababu wakazi wa mikoa hiyo wanapata taabu sana kutoka na tu-toto tudogo ambato hata havijatahiriwa na kisu kuendelea kuwasumbua wanaume legelege wa mikoa hiyo!.

Hatuhitaji silaha ya aina yeyote kutoka serikalini, sisi tutakwenda na mapanga yetu tu amani itarejea kama kawaida.

Mkuu Maxence Melo tafadhali nifikishie hili ombi kwa waziri wa mambo ya ndani!
Yaani wahalifu wakadhibiti uhalifu?

Ndo nasikia kwako leo
 
Wahalifu wako Magerezani na vituo vya polisi mkuu,sijui wahalifu wapi unaowazungumzia wewe!
Kwani wale waliotajwa na CAG kutenda uhalifu dhidi ya mali za umma miaka na miaka wapo magereza gani?

Hao watakatifu wako wanaochinjana kila kukicha ndo wadhibiti uhalifu?

Think again
 
Mkuu kuuza mayai kuna uhusiano na gani na ujasiri?

Kwahiyo ulitaka wasiuze Mayai waje wale kwenu?
Point yangu ni kwamba chukueni hao wauza mayai wapambane na majambazi badala ya kuingia gharama kuleta wauza mayai wengine.
 
Back
Top Bottom