Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wale waliotajwa na CAG kutenda uhalifu dhidi ya mali za umma miaka na miaka wapo magereza gani?
Hao watakatifu wako wanaochinjana kila kukicha ndo wadhibiti uhalifu?
Think again
Muanze na wanaokula kodi za wananchi na kulindanaNsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa mno la uhalifu unaofanywa na Vijana wadogo waziwazi!.
Kibaya zaidi uhalifu huo unafanyika mchana kweupe mbele ya wanaume legelege na wanawake wapaka wanja bila kuchukuliwa hatua zozote!.
Askari ambao tulitegemea walisaidie taifa kutoka na Moto wa Jeshi la Polisi (Usalama wa Raia na mali zake) nao wamekuwa waoga waoga hadi kupelekea uhalifu huo kushamiri!
Kwakuwa Vijana wengi kutoka Tarime tuna hali na muamko mkubwa wa kupambana na uhalifu,naiomba serikali itupe kibali maalumu na yatolewe magari yakawachukue vijana kule kwetu ili kupelekwa mikoa husika yenye usumbufu kutoka kwa WEZI,VIBAKA na MAJAMBAZI SUGU ili tukawaonyeshe namna ambavyo mtu anakula kipigo hadi anabaki kucheka badala ya kulia!.
Kuna mikoa nchi hii ni kama inataka kushindikana kwa uhalifu na Jeshi la Polisi ni kama limeishindwa!.
1. Arusha
2. Dar es salaam
3. Njombe
Naiomba serikali mlipokee ombi langu ili mlifanyie kazi kwasababu Vijana wa Tarime wapo tayari kupelekwa mikoa hiyo na kuisaidia kwasababu wakazi wa mikoa hiyo wanapata taabu sana kutoka na tu-toto tudogo ambato hata havijatahiriwa na kisu kuendelea kuwasumbua wanaume legelege wa mikoa hiyo!.
Hatuhitaji silaha ya aina yeyote kutoka serikalini, sisi tutakwenda na mapanga yetu tu amani itarejea kama kawaida.
Mkuu Maxence Melo tafadhali nifikishie hili ombi kwa waziri wa mambo ya ndani!
Toa location engineer nije tuisukume jioni tulivu muda wa kazi umeshaishaKwenye huu ulimwengu wa utandawazi , tabia ya mtu haitokani na kabila bali ni mtu mwenyewe anavyojihandle.
Kwa mfano mimi kabila ni X na tangu zamani nasikia kabila langu ni waoga na wepesi wa hasira kiasi cha kuchukua baadhi ya maamuzi yasiyofaa.
Lakini nyumbani kwangu vibaka hawapiti na wananijua vyema tu, Mimi Sina msamaha na yeyote aliye tayari kutoa uhai wangu.
Unanunua manati halafu unafungia kabatini? halafu?
Nini maana ya self defense?
Halafu kwenye mkoba upo na chaja pamoja na Bluetooth airphones , upo serious kweli, mwanaume!!
Muonekano pia unawaponza, nguo za kubana, vijiraba, au visendo vya kupuuzi na mitindo ya ajabu ya nywele, kwanini usikabwe!
Wakurya ni wakali wakiwa tarime. Wakija Dar ni waoga wanauza mayai.Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa mno la uhalifu unaofanywa na Vijana wadogo waziwazi!.
Kibaya zaidi uhalifu huo unafanyika mchana kweupe mbele ya wanaume legelege na wanawake wapaka wanja bila kuchukuliwa hatua zozote!.
Askari ambao tulitegemea walisaidie taifa kutoka na Moto wa Jeshi la Polisi (Usalama wa Raia na mali zake) nao wamekuwa waoga waoga hadi kupelekea uhalifu huo kushamiri!
Kwakuwa Vijana wengi kutoka Tarime tuna hali na muamko mkubwa wa kupambana na uhalifu,naiomba serikali itupe kibali maalumu na yatolewe magari yakawachukue vijana kule kwetu ili kupelekwa mikoa husika yenye usumbufu kutoka kwa WEZI,VIBAKA na MAJAMBAZI SUGU ili tukawaonyeshe namna ambavyo mtu anakula kipigo hadi anabaki kucheka badala ya kulia!.
Kuna mikoa nchi hii ni kama inataka kushindikana kwa uhalifu na Jeshi la Polisi ni kama limeishindwa!.
1. Arusha
2. Dar es salaam
3. Njombe
Naiomba serikali mlipokee ombi langu ili mlifanyie kazi kwasababu Vijana wa Tarime wapo tayari kupelekwa mikoa hiyo na kuisaidia kwasababu wakazi wa mikoa hiyo wanapata taabu sana kutoka na tu-toto tudogo ambato hata havijatahiriwa na kisu kuendelea kuwasumbua wanaume legelege wa mikoa hiyo!.
Hatuhitaji silaha ya aina yeyote kutoka serikalini, sisi tutakwenda na mapanga yetu tu amani itarejea kama kawaida.
Mkuu Maxence Melo tafadhali nifikishie hili ombi kwa waziri wa mambo ya ndani!
mkiachiwa kiholela mtakiuka haki za binadamu. Kama vipi anzisheni kikundi chenu cha kupambambana na uhalifu nchini kama sheria itaruhusu muingie kaziniHakuna cha kuajiliwa hapo,wao watupe tu Go Ahead halafu waone!
Sijawahi kuokota makopo kwa kisa cha afya ya akili.Naona hata ulichoandika hukijui!
Rudia kuandika tena!
Nakutania bana sema ukweli wakurya ni wakali wakiwa kwao. Wakishatoka wanakuwa barid sana.Kwahiyo watu wanaouza mayai ni waoga?
Ulitaka wasiuze mayai wale wape?
Sasa unaingia Tarime "be strong"Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa mno la uhalifu unaofanywa na Vijana wadogo waziwazi!.
Kibaya zaidi uhalifu huo unafanyika mchana kweupe mbele ya wanaume legelege na wanawake wapaka wanja bila kuchukuliwa hatua zozote!.
Askari ambao tulitegemea walisaidie taifa kutoka na Moto wa Jeshi la Polisi (Usalama wa Raia na mali zake) nao wamekuwa waoga waoga hadi kupelekea uhalifu huo kushamiri!
Kwakuwa Vijana wengi kutoka Tarime tuna hali na muamko mkubwa wa kupambana na uhalifu,naiomba serikali itupe kibali maalumu na yatolewe magari yakawachukue vijana kule kwetu ili kupelekwa mikoa husika yenye usumbufu kutoka kwa WEZI,VIBAKA na MAJAMBAZI SUGU ili tukawaonyeshe namna ambavyo mtu anakula kipigo hadi anabaki kucheka badala ya kulia!.
Kuna mikoa nchi hii ni kama inataka kushindikana kwa uhalifu na Jeshi la Polisi ni kama limeishindwa!.
1. Arusha
2. Dar es salaam
3. Njombe
Naiomba serikali mlipokee ombi langu ili mlifanyie kazi kwasababu Vijana wa Tarime wapo tayari kupelekwa mikoa hiyo na kuisaidia kwasababu wakazi wa mikoa hiyo wanapata taabu sana kutoka na tu-toto tudogo ambato hata havijatahiriwa na kisu kuendelea kuwasumbua wanaume legelege wa mikoa hiyo!