Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Washamba tu hamna jipy kazi kuonea wanawake ...Huo ushamba wenu usiulete huku pwani.Jichanganye uone!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Washamba tu hamna jipy kazi kuonea wanawake ...Huo ushamba wenu usiulete huku pwani.Jichanganye uone!
Bro nimefanya nao kazi sana. Ni waoga sana nje ya kwao. Watu ambao nimeona unaweza kufanya nae kazi na ni mgumu ni mtu wa singida kwa taarifa yako. Mkurya umpeleke Arusha kuwa serious. Au umpeleke mbozi akacheze na wanyiha mzee sio wakurya ninaowajua. Nyie uaskari au jeshin sio kwamba ni watu wa front mzee. Ni mna mapenzi na hiyo kazi kama walivyo wahehe wanavyocheza na mbao au Lindi wanavyocheza na vinyago.Mkurya ni mstaarabu sana na hapendi vurugu,ila jichanganye uingie anga zake uone mkuu!
Bro nimefanya nao kazi sana. Ni waoga sana nje ya kwao. Watu ambao nimeona unaweza kufanya nae kazi na ni mgumu ni mtu wa singida kwa taarifa yako. Mkurya umpeleke Arusha kuwa serious. Au umpeleke mbozi akacheze na wanyiha mzee sio wakurya ninaowajua. Nyie uaskari au jeshin sio kwamba ni watu wa front mzee. Ni mna mapenzi na hiyo kazi kama walivyo wahehe wanavyocheza na mbao au Lindi wanavyocheza na vinyago.
Dar wakulya ni wauza mayai na mchicha tu yaani wanatandikwa kila wakati na madereva daladala . Mkurya anasumbua huko huko Tarime tu DSM ni yabaina yake kweli kweli majambazi wanatoka Moro , Pwani na kusiniNsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa mno la uhalifu unaofanywa na Vijana wadogo waziwazi!.
Kibaya zaidi uhalifu huo unafanyika mchana kweupe mbele ya wanaume legelege na wanawake wapaka wanja bila kuchukuliwa hatua zozote!.
Askari ambao tulitegemea walisaidie taifa kutoka na Moto wa Jeshi la Polisi (Usalama wa Raia na mali zake) nao wamekuwa waoga waoga hadi kupelekea uhalifu huo kushamiri!
Kwakuwa Vijana wengi kutoka Tarime tuna hali na muamko mkubwa wa kupambana na uhalifu,naiomba serikali itupe kibali maalumu na yatolewe magari yakawachukue vijana kule kwetu ili kupelekwa mikoa husika yenye usumbufu kutoka kwa WEZI,VIBAKA na MAJAMBAZI SUGU ili tukawaonyeshe namna ambavyo mtu anakula kipigo hadi anabaki kucheka badala ya kulia!.
Kuna mikoa nchi hii ni kama inataka kushindikana kwa uhalifu na Jeshi la Polisi ni kama limeishindwa!.
1. Arusha
2. Dar es salaam
3. Njombe
Naiomba serikali mlipokee ombi langu ili mlifanyie kazi kwasababu Vijana wa Tarime wapo tayari kupelekwa mikoa hiyo na kuisaidia kwasababu wakazi wa mikoa hiyo wanapata taabu sana kutoka na tu-toto tudogo ambato hata havijatahiriwa na kisu kuendelea kuwasumbua wanaume legelege wa mikoa hiyo!
Hatuhitaji silaha ya aina yeyote kutoka serikalini, sisi tutakwenda na mapanga yetu tu amani itarejea kama kawaida.
Mkuu Maxence Melo tafadhali nifikishie hili ombi kwa waziri wa mambo ya ndani!
Bro nimekuambia nimefanya kazi na wakurya muda mrefu. Nimekaa nyamongo sana enz hizo mwaka jana nilikuja kuzika mmoja wa washkaji zangu hapo tarime. Nakuambia by my experience mzee. Mkurya hawez kumdhibiti mtu wa Arusha au mnyiha ninao wajua Mimi.Tatizo lenu huwa mnadhani watu wote kutoka Mara ni wakurya!
Nimetoka huo mji ila nyie ushamba mwingi hamna hizo nguvu kazi kupiga wanawake.
Yule ibra classic au Kiduku anapiga mabondia wenu wote ,kazi kuonea wanawake na ushamba wa miaka 80's.
Bro nimekuambia nimefanya kazi na wakurya muda mrefu. Nimekaa nyamongo sana enz hizo mwaka jana nilikuja kuzika mmoja wa washkaji zangu hapo tarime. Nakuambia by my experience mzee. Mkurya hawez kumdhibiti mtu wa Arusha au mnyiha ninao wajua Mimi.
Mshamba mi mtu wa kusafiri sana nimetoka juzi tu ,mi misheni town kazi kusafiri kila kona.Ok nilidhani unatamba uko mjini kumbe uko maporini,endelea kupambana huko maporini na wanawake wenzio!
Safi kabisa mula,,nilishangaa saana eti yule kijana mdogo wa Arusha ndiye alikuwa anasumbua watu vilee,wakati yule angekuwa tarime hawezii kuhimilii kupambana hata na kijana wa miaka 19 kutoka tarimeNsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa mno la uhalifu unaofanywa na Vijana wadogo waziwazi!.
Kibaya zaidi uhalifu huo unafanyika mchana kweupe mbele ya wanaume legelege na wanawake wapaka wanja bila kuchukuliwa hatua zozote!.
Askari ambao tulitegemea walisaidie taifa kutoka na Moto wa Jeshi la Polisi (Usalama wa Raia na mali zake) nao wamekuwa waoga waoga hadi kupelekea uhalifu huo kushamiri!
Kwakuwa Vijana wengi kutoka Tarime tuna ari na muamko mkubwa wa kupambana na uhalifu,naiomba serikali itupe kibali maalumu na yatolewe magari yakawachukue vijana kule kwetu ili kupelekwa mikoa husika yenye usumbufu kutoka kwa WEZI,VIBAKA na MAJAMBAZI SUGU ili tukawaonyeshe namna ambavyo mtu anakula kipigo hadi anabaki kucheka badala ya kulia!.
Kuna mikoa nchi hii ni kama inataka kushindikana kwa uhalifu na Jeshi la Polisi ni kama limeishindwa!.
1. Arusha
2. Dar es salaam
3. Njombe
Naiomba serikali mlipokee ombi langu ili mlifanyie kazi kwasababu Vijana wa Tarime wapo tayari kupelekwa mikoa hiyo na kuisaidia kwasababu wakazi wa mikoa hiyo wanapata taabu sana kutoka na tu-toto tudogo ambato hata havijatahiriwa na kisu kuendelea kuwasumbua wanaume legelege wa mikoa hiyo!
Hatuhitaji silaha ya aina yeyote kutoka serikalini, sisi tutakwenda na mapanga yetu tu amani itarejea kama kawaida.
Mkuu Maxence Melo tafadhali nifikishie hili ombi kwa waziri wa mambo ya ndani!
Haya kaka. Ckulazimish kuamin maana cna faida nalo ila wanaojua nachosema washaelewa. Au ulitaka nikutajie na vile tulikuwa tunacheza na migodi.Mkuu wewe utakuwa umehadithiwa vijiweni wewe kuhusu mkurya!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ila wee jmaa Ni fala San una muita jama Ana mambo ya kike kikeTabia zako za kike kike unataka kutuletea watu wa Tarime!
Mm nashngaaa kitu gani amepanicktabia zipi
mbona vitu vidogo unapanic, hayo ndo mambo ya kike.
SAS jmn ndio wauze mayai jmn dah so wangeenda kwenye site za tofali kupigishwa kazi 24/7Mkuu kuuza mayai kuna uhusiano na gani na ujasiri?
Kwahiyo ulitaka wasiuze Mayai waje wale kwenu?