Umughaka hapa umedanganya kusema watu kutoka Tarime mtadhibiti haya matukio π€π€ nimeishi mabibo jeshini tena pale wanapaita kwa wakurya na hadi kwenye pool table lugha ni kkikurya tu lakini tulikua tunapiga matukio kama kawaida, Kuna siku mzee Moja mwanajeshi mstaafu alivamiwa saa 11 alfajir aiseee tulisota sana
Duh! Mara hii hii ninayoisikia kila leo kwa matukio?Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa mno la uhalifu unaofanywa na Vijana wadogo waziwazi!.
Kibaya zaidi uhalifu huo unafanyika mchana kweupe mbele ya wanaume legelege na wanawake wapaka wanja bila kuchukuliwa hatua zozote!.
Askari ambao tulitegemea walisaidie taifa kutoka na Moto wa Jeshi la Polisi (Usalama wa Raia na mali zake) nao wamekuwa waoga waoga hadi kupelekea uhalifu huo kushamiri!
Kwakuwa Vijana wengi kutoka Tarime tuna hali na muamko mkubwa wa kupambana na uhalifu,naiomba serikali itupe kibali maalumu na yatolewe magari yakawachukue vijana kule kwetu ili kupelekwa mikoa husika yenye usumbufu kutoka kwa WEZI,VIBAKA na MAJAMBAZI SUGU ili tukawaonyeshe namna ambavyo mtu anakula kipigo hadi anabaki kucheka badala ya kulia!.
Kuna mikoa nchi hii ni kama inataka kushindikana kwa uhalifu na Jeshi la Polisi ni kama limeishindwa!.
1. Arusha
2. Dar es salaam
3. Njombe
Naiomba serikali mlipokee ombi langu ili mlifanyie kazi kwasababu Vijana wa Tarime wapo tayari kupelekwa mikoa hiyo na kuisaidia kwasababu wakazi wa mikoa hiyo wanapata taabu sana kutoka na tu-toto tudogo ambavyo hata havitahiriwa kuendelea kuwasumbua wanaume legelege wa mikoa hiyo!.
Hatuhitaji silaha ya aina yeyote kutoka serikalini, sisi tutakwenda na mapanga yetu tu amani itarejea kama kawaida.
Mkuu Maxence Melo tafadhali nifikishie hili ombi kwa waziri wa mambo ya ndani!
Hoja yangu ni kwamba haya maeneo ambayo mko wengi Kwa kiasi kikubwa kwanini haya matukio bado yapo?Mkuu ninachokisema nakimaanisha!
Labda itakua hujanielewa nachoulizaπ€Ndo nataka tuletwe huko ili kuyakomesha!
Keno Nke Pia namkumbuka miaka hiyo 2014's iv kama skosei...alikuwa ana mguu wa KUKU, anakuuliza swali ukijichanganya kujib hutaskia Paaa!Umesahau kuna mtu alitikisa tarime akijiita keno nke
mimi ni mtarime pia lakini penye ukweli tuseme
ndo huyo mkuu. haya mambo hayana ushujaa, mi mwenyewe wa tarime lakini jamaa alitikisa. huyu umughaka alikuwa wapi kama mwanaume kweliKeno Nke Pia namkumbuka miaka hiyo 2014's iv kama skosei...alikuwa ana mguu wa KUKU, anakuuliza swali ukijichanganya kujib hutaskia Paaa!
Afu kamtu kembamba lakini kaliwafanya wana tarime kulala saa kumi na mbili jioniUmesahau kuna mtu alitikisa tarime akijiita keno nke
mimi ni mtarime pia lakini penye ukweli tuseme
Nataka nitumie mabibo jeshini kama case study! Pale pana wakurya wengi na matukio haya yanatokea, kwanini tuamini kwamba wakiletwa wengine wanaweza kudhibiti na wakati hawa waliopo wameshindwa kudhibiti katika maeneo yao wanayoishiUliza ueleweke mkuu!
Nataka nitumie mabibo jeshini kama case study! Pale pana wakurya wengi na matukio haya yanatokea, kwanini tuamini kwamba wakiletwa wengine wanaweza kudhibiti na wakati hawa waliopo wameshindwa kudhibiti katika maeneo yao wanayoishi
Tangu lini mtoto wa shamba akamzidi mtoto wa mjini.Nataka nitumie mabibo jeshini kama case study! Pale pana wakurya wengi na matukio haya yanatokea, kwanini tuamini kwamba wakiletwa wengine wanaweza kudhibiti na wakati hawa waliopo wameshindwa kudhibiti katika maeneo yao wanayoishi
Yaani wahalifu wakadhibiti uhalifu?Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa mno la uhalifu unaofanywa na Vijana wadogo waziwazi!.
Kibaya zaidi uhalifu huo unafanyika mchana kweupe mbele ya wanaume legelege na wanawake wapaka wanja bila kuchukuliwa hatua zozote!.
Askari ambao tulitegemea walisaidie taifa kutoka na Moto wa Jeshi la Polisi (Usalama wa Raia na mali zake) nao wamekuwa waoga waoga hadi kupelekea uhalifu huo kushamiri!
Kwakuwa Vijana wengi kutoka Tarime tuna hali na muamko mkubwa wa kupambana na uhalifu,naiomba serikali itupe kibali maalumu na yatolewe magari yakawachukue vijana kule kwetu ili kupelekwa mikoa husika yenye usumbufu kutoka kwa WEZI,VIBAKA na MAJAMBAZI SUGU ili tukawaonyeshe namna ambavyo mtu anakula kipigo hadi anabaki kucheka badala ya kulia!.
Kuna mikoa nchi hii ni kama inataka kushindikana kwa uhalifu na Jeshi la Polisi ni kama limeishindwa!.
1. Arusha
2. Dar es salaam
3. Njombe
Naiomba serikali mlipokee ombi langu ili mlifanyie kazi kwasababu Vijana wa Tarime wapo tayari kupelekwa mikoa hiyo na kuisaidia kwasababu wakazi wa mikoa hiyo wanapata taabu sana kutoka na tu-toto tudogo ambato hata havijatahiriwa na kisu kuendelea kuwasumbua wanaume legelege wa mikoa hiyo!.
Hatuhitaji silaha ya aina yeyote kutoka serikalini, sisi tutakwenda na mapanga yetu tu amani itarejea kama kawaida.
Mkuu Maxence Melo tafadhali nifikishie hili ombi kwa waziri wa mambo ya ndani!
Kwani wale waliotajwa na CAG kutenda uhalifu dhidi ya mali za umma miaka na miaka wapo magereza gani?Wahalifu wako Magerezani na vituo vya polisi mkuu,sijui wahalifu wapi unaowazungumzia wewe!
Point yangu ni kwamba chukueni hao wauza mayai wapambane na majambazi badala ya kuingia gharama kuleta wauza mayai wengine.Mkuu kuuza mayai kuna uhusiano na gani na ujasiri?
Kwahiyo ulitaka wasiuze Mayai waje wale kwenu?