Umefika Muda Serikali itutumie vijana kutoka Tarime ili kukomesha Masuala ya Uhalifu kwenye baadhi ya Mikoa

Labda muajiriwe polisi bila kujali elimu zenu na umri wenu, ila lazima mkapate mafunzo ya upolisi mjue kukabiliana na wahalifu zaidi
 
Kwani wale waliotajwa na CAG kutenda uhalifu dhidi ya mali za umma miaka na miaka wapo magereza gani?

Hao watakatifu wako wanaochinjana kila kukicha ndo wadhibiti uhalifu?

Think again


Naona hata ulichoandika hukijui!

Rudia kuandika tena!
 
Labda muajiriwe polisi bila kujali elimu zenu na umri wenu, ila lazima mkapate mafunzo ya upolisi mjue kukabiliana na wahalifu zaidi


Hakuna cha kuajiliwa hapo,wao watupe tu Go Ahead halafu waone!
 
Point yangu ni kwamba chukueni hao wauza mayai wapambane na majambazi badala ya kuingia gharama kuleta wauza mayai wengine.

Inaonekana unapenda sana mayai!,Angalia utapasuliwa yai huko Bwakenye!,Shauri yako!
 
Muanze na wanaokula kodi za wananchi na kulindana
 
Nyie mnapigana wanawake zenu mnajisifu ,mnapigana na washamba wenzenu tena ugomvi wa silaha.

Tungeona mkiwa wengi kweny mchezo wa ngumi na kuwa washindi.

Nyie mna roho mbaya sio wapambanaji .
 
Zamani Majesh tuliwategemea Sana watu wa tarime, tatizo siku hizi wanachukua kila sehemu mpaka midebwedo ndomana hakuna ufanisi ni uogauoga tu, watoto wadogo wanachezea mitaa.
 
Toa location engineer nije tuisukume jioni tulivu muda wa kazi umeshaisha
 
Wakurya ni wakali wakiwa tarime. Wakija Dar ni waoga wanauza mayai.
 
Hakuna cha kuajiliwa hapo,wao watupe tu Go Ahead halafu waone!
mkiachiwa kiholela mtakiuka haki za binadamu. Kama vipi anzisheni kikundi chenu cha kupambambana na uhalifu nchini kama sheria itaruhusu muingie kazini
 
1. Mkoloni aliajiri askari kutoka Musoma

2. Nyerere aliajiri askari kutoka Musoma

3. CHADEMA waliajiri walinzi kutoka Musoma.

4. Bongo movie(kipengele cha askari) kuna mtu wa Musoma.

Maana yake ni kwamba watu wa Musoma ni weledi katika ulinzi.

Sasa siku hizi askari wanatoka division 4, na shida zinaanzia hapa.
 
Sasa unaingia Tarime "be strong"
 
Nakutania bana sema ukweli wakurya ni wakali wakiwa kwao. Wakishatoka wanakuwa barid sana.

Mkurya ni mstaarabu sana na hapendi vurugu,ila jichanganye uingie anga zake uone mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…