Nimemwambia sitokei Tanzania natokea Zambia naelekea kwa wenye Akili Kubwa Kenya, Rwanda na Uganda.

Yaani nikubali Kudharaulika na Mzungu kwa Upumbavu wa Waswahili Wachache? Haiwezekani na GENTAMYCINE nimeukana Utanzania kwa muda na Kujita Mzambia ili mdharauliwe nyie na siyo Mimi.

Imeisha hiyo...!!
 
Hata hivyo una vinasaba vyote vya Uzambia

Nchi ambayo uchumi wake umeferi,Serikali imeferi mpaka inasaidiwa na China kuendesha jeshi lake la Polisi

Nchi kubwaaa isiyojielewa
 
Lakini ni aibu sana, mechi inaangaliwa bara zima la Afrika na pengine na nchi nyingine kutoka nje ya Afrika harafu umeme ukatike, aaaah! Haiingii akilini kwakweli
 
ILA WIZARA IMEAGIZA UCHUNGUZI LKN

TUSUBIRI RIPOTI YA TUME HIYO YA UCHUNGUZI


rejea magazeti ya leo
 
ILA WIZARA IMEAGIZA UCHUNGUZI LKN

TUSUBIRI RIPOTI YA TUME HIYO YA UCHUNGUZI


rejea magazeti ya leo
Dawa pekee ni kubinafsisha report ni ujinga mtupu na watalindana .....ukiongea na wasimamizi utalia....pesa as matengenezo usafi ukarabati umeme hazitoki kabisa kutoka wizarani BMT etc ....wanaonewa wasimamizi dawa kuuubwa uwe kampuni binafsi period
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…