Kahtan Ahmed
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 765
- 490
Eti umeme mdogo shame on you my country mmenizimia umeme nyumbani nimewasha generator na uwanjani mmezima [emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeme upo taa ndo mbovuYaani, TANESCO Dar wanatakiwa kufukuzwa kazi haraka sana, hii aibu, lakinin iweje uwanja wa Taifa hauna hata Standby generator kweli? 😭😭😭😭
Na nani?Mhusika aliwe kichwa
Mwendazake angekaa kwenye Circuit Breaker isi trip?angekuwapo mwendazake,haya mambo yasingekuwepo..
AIBU saanaUwanja wa Taifa giza Tena,Mwigulu ansema tupo salama
Jamani ,tuwe serious hii Ni mara ya pili.
CAF fungieni uu uwanja tafadhali
===========
Mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya kombe la Shirikisho Afrika kati ya wenyeji Young Africans SC dhidi ya Rivers United ya Nigeria imesimama kwa muda baada ya taa za uwanja wa Benjamin Mkapa kuzima ghafla.
Taa zimezima mchezo ukiwa 0-0 mnamo dakika ya 28.
Umeme haujkatika , ni mataa yamezima uongozi wa uwanja ndio tatizoYaani, TANESCO Dar wanatakiwa kufukuzwa kazi haraka sana, hii aibu, lakinin iweje uwanja wa Taifa hauna hata Standby generator kweli? [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Ni aibu sana na hela zinapatikana wanakwama wapi hatutaki kuingia dhambi ila hadi uwanja unatushinda asee ni aibu sana
Hatutakuwa na uwanja wa Taifa na itakuwa hopeless....Huu uwanja ufungwe tu
Hivi shida ya ku-trip kwa circuit breaker husababishwa na nini? Naulizia kwenye nyumba ndogo za vyumba vichache ukiachana na viwanja vikubwaMwendazake angekaa kwenye Circuit Breaker isi trip?
Mhusika aliwe kichwa
TutajuajeUpo fasta kuanzisha Uzi duuuh[emoji28][emoji28] utafikiri unalipwa[emoji1745]
Hii ni issue sensitive ila nadhani haichukuliwi katika uzito wowote, kama kumbukumbu zangu ziko vizuri hii si mara ya kwanza.Unaweza kuta KOLO moja limefanya ujinga huo …… Alisisika mlevi mmoja akiropoka mitaa ya keko magurumbasi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dubai waliandaa mwaka gani Kombe la Dunia?
Kuwatoa kwenye vyeo haisaidii wawe wana-confiscate hata mali zaohahahaha, shida kweli kweli.
kwanini game haikuanza saa kumi kamili au tisa kabisa, tunaleta mbwembwe ilihali miundo mbinu yetu mibovu.
Kesho Mama ulipaswa kutumbua Waziri wa michezo, Naibu, katibu mkuu nk na hao viongozi wa uwanja ungewaacha.