chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
bado tu umeme haujarudi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bajeti ya umeme ipo kwahiyo kuhusu hiyo 10M wala haitakiwi kuwa na mjadala!Hizo milion 10 zinazotolewa, zilitakiwa zipelekwe kwenye maintenance kama hizi , ona sasa aibu tunavotia, watu wemgi wanafatilia hii michuano Africa.
Tunaonekana hatupo seriously kabis Tanzania kichwa cha mwend.........
Ningekuwa na uwezo, ma-rope na Mkurugenzi wa uwanja wa Taifa ningewafuta kaziUwanja wa Taifa giza Tena,Mwigulu ansema tupo salama
Jamani ,tuwe serious hii Ni mara ya pili.
CAF fungieni uu uwanja tafadhali
===========
Mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya kombe la Shirikisho Afrika kati ya wenyeji Young Africans SC dhidi ya Rivers United ya Nigeria imesimama kwa muda baada ya taa za uwanja wa Benjamin Mkapa kuzima ghafla.
Taa zimezima mchezo ukiwa 0-0 mnamo dakika ya 28.
Mechi ikiendelea tutarejea, kwasasa tutafute wa kumtwika lawamaUzembe ni kipaumbele nchi hii
Kwa Tanzania hii na mtu mweusi kwa kiasi kikubwa hakuna!Hakuna jambo tunaweza kufanya Kwa 100%?
Ndo tz hiyoYaani, TANESCO Dar wanatakiwa kufukuzwa kazi haraka sana, hii aibu, lakinin iweje uwanja wa Taifa hauna hata Standby generator kweli? 😭😭😭😭
Huu uwanja ufungwe tuMechi ikiendelea tutarejea, kwasasa tutafute wa kumtwika lawama
Juzi kwenye game ya Simba hawa wahuni TFF na wenzake wamevuta 200mil+, kazi kulipana tu miposho hakuna maintenance yoyote ya Uwanja inayofanyika.Hizo milion 10 zinazotolewa, zilitakiwa zipelekwe kwenye maintenance kama hizi , ona sasa aibu tunavotia, watu wemgi wanafatilia hii michuano Africa.
Tunaonekana hatupo seriously kabis Tanzania kichwa cha mwend.........
Kweli Mkuu, alikuwa havumilii ujingaangekuwapo mwendazake,haya mambo yasingekuwepo..
Dubai waliandaa mwaka gani Kombe la Dunia?Lakini haya ni mambo ya kawaida hata Dubai imewahi kutokea kwenye world cup