Umeme umekatika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati Mechi ya Yanga na Rivers ikiendelea
Lazima wawepo wa kuwajibishwa otherwise ujinga ukumbatiwe.
 
Kwahy HT itawepo au ndio ulipokatika mapumzko yakaungwa hapo hapo?
 
Duh,poleni huko ....basi wanaosimamia huo uwanja ni wahuni
Na wazembe tu

Ova
 
Yaani, TANESCO Dar wanatakiwa kufukuzwa kazi haraka sana, hii aibu, lakinin iweje uwanja wa Taifa hauna hata Standby generator kweli? [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hivi hilo ni kosa la tanesco au uongozi wa uwanja

Ova
 
Hivi shida ya ku-trip kwa circuit breaker husababishwa na nini? Naulizia kwenye nyumba ndogo za vyumba vichache ukiachana na viwanja vikubwa

Circuit breaker inaweza kutrip kutokna na signal imezipata kutoka kwenye mfumo wote (circuit and loads) kua kuna tatizo, so inakata as a safety measure ku avoid risk. In some instances uki over load line flani say umechomeka kitu cha umeme mwinginkwenye socket outlet ambayo iko rated low pia signal zinarudi na inakata.

Ukichomeka kifaa kibovu earth waya inaleta ujumbe kwenye distribution board na circuit breaker inajibu!

Au hata ukachomeka msumari kwenye socket outlet earth na live zikigusa inazima kule!
 
Shukurani
 
Back
Top Bottom