Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzilankende Usiku Huu Viongozi Wangefutwa Kazi Chap ChapTumerudi kule kuleeeeeee kwenye uzembe
TumekwamaBado tu ni kiza?
Tena ubomolewe kama mambo madogo yamewashinda hapo ni kuzalilisha Rais wetu kipenziHatutakuwa na uwanja wa Taifa na itakuwa hopeless....
Hivi hilo ni kosa la tanesco au uongozi wa uwanjaYaani, TANESCO Dar wanatakiwa kufukuzwa kazi haraka sana, hii aibu, lakinin iweje uwanja wa Taifa hauna hata Standby generator kweli? [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Duh,na weewe lazima utatupiga tuMama anipege hata umeneja hapa uwanjani
Hivi umeme ulikatika hapo kwa muda gani mpaka ukarudiLakini haya ni mambo ya kawaida hata Dubai imewahi kutokea kwenye world cup
Chawa kama chawa.Tena ubomolewe kama mambo madogo yamewashinda hapo ni kuzalilisha Rais wetu kipenzi
Hivi shida ya ku-trip kwa circuit breaker husababishwa na nini? Naulizia kwenye nyumba ndogo za vyumba vichache ukiachana na viwanja vikubwa
kwa hiyo kila mechi ya kimataifa iwe ina trip au siyo?na haibadilishwi mpaka ipoe iwashwe tena,nimekuelewa mkuu...Mwendazake angekaa kwenye Circuit Breaker isi trip?
ShukuraniCircuit breaker inaweza kutrip kutokna na signal imezipata kutoka kwenye mfumo wote (circuit and loads) kua kuna tatizo, so inakata as a safety measure ku avoid risk. In some instances uki over load line flani say umechomeka kitu cha umeme mwinginkwenye socket outlet ambayo iko rated low pia signal zinarudi na inakata.
Ukichomeka kifaa kibovu earth waya inaleta ujumbe kwenye distribution board na circuit breaker inajibu!
Au hata ukachomeka msumari kwenye socket outlet earth na live zikigusa inazima kule!
[emoji2][emoji2]wazembe wanataka kugombanisha Rais wetu na wapenda sokaChawa kama chawa.
world cup ipi?au ya riadha?Lakini haya ni mambo ya kawaida hata Dubai imewahi kutokea kwenye world cup