Umeme umekatika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati Mechi ya Yanga na Rivers ikiendelea

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
Uwanja wa Taifa giza Tena,Mwigulu ansema tupo salama

Jamani ,tuwe serious hii Ni mara ya pili.
CAF fungieni uu uwanja tafadhali

===========

Mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya kombe la Shirikisho Afrika kati ya wenyeji Young Africans SC dhidi ya Rivers United ya Nigeria imesimama kwa muda baada ya taa za uwanja wa Benjamin Mkapa kuzima ghafla.

Taa zimezima mchezo ukiwa 0-0 mnamo dakika ya 28.
 
Huku wengine wananunua magoli, huku juzi zimekusanywa hela za kutosha lakini taa hamna
 
Yaani, TANESCO Dar wanatakiwa kufukuzwa kazi haraka sana, hii aibu, lakinin iweje uwanja wa Taifa hauna hata Standby generator kweli? 😭😭😭😭
 
Na mitaani umeme wetu ndiyo umepelekwa Uwanjani kuongeza nguvu? Maana tupo gizani.
 
Back
Top Bottom