Umeshawahi kuchati na ChatGPT kitu chochote? Hii AI inaweza kukufanya ujisikie kama unachati na binadamu

Nipo Mkuu
Karibu tupate bia๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Huu Uzi umenichekesha sana. Sikujua kama akili Mnemba ana vituko kiasi hicho .
Wewe ni mzuri sana unapata bia viunga vya wapi aseee๐Ÿค”
 
Kwenyw tech wazungu wametushika masaburi, yani hakuna namna tunachomoka.

Kuna META AI nayo iko poa sana sema kwa kizungu tu, yaani mnachat as if mpo washkaji..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ