Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,069
- 15,029
Hahaha nilikua bado sijaanza kunywa nadhani kama ningekua mnywaji ningegida sana.Pole sana mkuu.
View attachment 3616529
How Dar Es Salaam is judgemental society?Mimi nilikuwa na ups and downs nyingi sana lakini sijawahi kushika panga au kisu kukata tamaa. Kitu nilichobarikiwa ni kwamba niligundua mapema sana tangu niko O'level kuwa mimi ndio boss wa maisha yangu. Ngumu sana kuzaliwa na kukua kwenye judgemental societies kama ya Dar es salaam lakini mwisho wa siku I won π
So ulifanikiwa kufanya mtihani?Mm nlikiwa fom6 bwenini usiku gafla nlizidiwa na homa ya ajabu nikaenda hospitali ya mkoa huo. Hiyo ilikuwa ijumaa alafu j3 mtihani wa taifa wa f6 unaanza... Terrible incident sitasahau
How Dar Es Salaam is judgemental society?
Pole mtani, changamoto za Maisha, Mungu amekuandikia sehemu bora zaidi.2024 nilipofukuzwa kazi, ilikuwa n sehemu ya ndoto yangu kutokana na nilichosomea, mbaya zaidi niliondolewa kwa kusemewa mambo ya uongo π
Mpaka sasa bado siko Sawa kiakili, Hua najaribu kujiweka sawa ila bado ni kitu kinachoniumiza mno
Nataka kujuaUnauliza unataka kujua au kubishana? Swali jingine zaidi ya Dar es salaam umewahi kuishi wapi?
Ungeapply na vyuo vingine kama KCMC au CUHAS, ungepata MD.Umenikumbusha mbali sana aisee.
Mwaka 2015 (14/11/2015 siku ya Ijumaa saa kumi jioni) nikiwa Form Five nikavunjika Mkono ninaotumia kuandikia.
Balaa linakuja nasoma PCB, 2016 April nafanya paper ya Robo Semster nikawa wa pili kutoka Mwisho katika combination ya PCB.
Katika Maisha yangu ni wale watu wakuchukulia mambo kimatani matani na mizaha Mingi ya Kuchekesha si unajua tena ukimkuta msukuma comedian.
Baada ya kuwa wa pili kutoka Mwisho nilijiapia sitokuwa wa mwisho tena bali nitakuwa wa Juu.
Napiga Paper ya ACSEE May/2017 nafanikiwa kutoka na ufaulu mzuri kabisa hadi namshangazaa Mwalimu mkuu wa ile shule.
Mwaka ule ule mwezi Novemba/2017 naingia Chuo na Course ya Computer Science, Medicine sikufanikiwa kupata Nafasi UDOM na Mhimbili.
Ndoto za MD zikaishia pale pale, nikaenda kupiga course ya Computer Science, kwa kweli course hiyo sikuipenda hadi nafika mwaka wa 3 do sasa inakuja imani nipambane nimalize chuo nirudi home nikawe mkulima.
Kipindi niko chuo mwaka 2019 nikapataga nafasi ya Kujitolea katika Hospitali fulani ya Rufaa, ikajaga kutokea wizi wa Desktops nikaachiwa msalaa kwamba mimi do nimeiba nikafukuzwa April/2019.
Mei/2019 natapeliwa Na Mkinga fedha ya Ada, Bumu. Kama kawaida yangu sikuwa na pressure niliamini ipo siku mambo yataenda sawa.
Mwaka 2020 na graduate chuo kimiujiza miujiza, Mungu huyu acha aitwe Mungu.
Mwaka 2021 Januari nikapataga kazi Serikalini, Daaaaaaah.
Fani niliyosoma niliamini sitokuja kupata kazi, unapanga na Mungu naye anapanga lake.
Hakuna kukata tamaa, tupambane hadi tone la Mwisho.
Waliopata ajira, hawazitaki kazi zao, wanaona kama ni utumwa na michosho, wasio na ajira wanatafuta ajira dah.Kukosa ajira kunatukatisha vijana wengi tamaa.
Sometimes mtu unahisi kama ulikuja kuwa msindikizaji tu hapa duniani
Mungu akusimamieNimesoma hii nimeishia kuumia mno, ndiyo kipindi ninachopitia hivi sasa, nahisi moyo wangu unavuja damu, Mungu anisaidie tu nivuke salama huu msimu bila kuchukua maamuzi yoyote magumu..!
Ngoja kwanza nikalie tena..!ππΎ
Pole sana mkuu2024 nilipofukuzwa kazi, ilikuwa n sehemu ya ndoto yangu kutokana na nilichosomea, mbaya zaidi niliondolewa kwa kusemewa mambo ya uongo π
Mpaka sasa bado siko Sawa kiakili, Hua najaribu kujiweka sawa ila bado ni kitu kinachoniumiza mno
Nmepoa mkuu, nasonga mbele huku naliaPole sana mkuu
Kama gari ya wagonjwa sio, ungewasemea kwa baba zaoNmepoa mkuu, nasonga mbele huku nalia
Hawa hata nikiwasemea hawawezi kushughulikiwa, nitafutie mganga konki ntoe roho ya mtuKama gari ya wagonjwa sio, ungewasemea kwa baba zao
Poa mkuuHawa hata nikiwasemea hawawezi kushughulikiwa, nitafutie mganga konki ntoe roho ya mtu
Umenikumbusha mbali sana aisee.