EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,579
- 21,407
Wanafikaga mpaka mita 4,nyoka mwenye urefu wa mita 3 ana weza hata kuingia kwenye dirisha lililoachwa wazi lililopo mbali kidogo na ardhiNilimuona akiwa amekufa, alikua anavuka barabara akagongwa na gari aisee yule mdudu ni mkubwa na anatisha tulimpima urefu alikua na futi 5 na point aisee, ukikutana nae mzima kimbia tuu kwa jinsi nilivyomuona mtu mbili hutoboi qmmk.
Hahaha! Aisee umetisha mkuu..Mimi nilikutana Naye mbugani akawa anainua kichwa chake.Nikambana na mti kichwa chake na nikamshika mkia wake nikaanza kumzungusha juu Hadi akalegea na kumng'oa meno yake.Nilifanya Hivyo Kwa kutomjua kuwa alikuwa ni black mamba Hadi pale watu wanaojua nyoka wakaja wakamtambua Kwa jina na wanasema nilikuwa nacheza na moto
Tulikuwa jeshini msange jkt 20111 ...kipindi cha six weeks aseee kipndi hicho unaambiwa hakuna kuoga wa kwenda chooni tafuta muda wako kijeshi....kwa upande wangu sikawahi kutana nae ila nisikia ni hatare sana na wanasema sana sana anptkn Tabora, kanda ya ziwa ,Dodoma na Mbeya
Kama ushawahi kutana nae share nasi tujifunze😁
Hatari mkuu nilikuaga na picha zake sema nilichange simu ila hawa wadudu wanatisha sana.Wanafikaga mpaka mita 4,nyoka mwenye urefu wa mita 3 ana weza hata kuingia kwenye dirisha lililoachwa wazi lililopo mbali kidogo na ardhi
Hahaha!! Noma sana..Mi nilikutana nae shamba la mtama kule dodoma nikavua ndala nikaishika nilimtoa baru ana bahati asingekimbia ningemalizana nae kwa kumzaba makofi ya ndala
Koboko hana sura ya kutisha ni nyoka mzuri kwa muonekano ila matendo yake ya kutishaHatari mkuu nilikuaga na picha zake sema nilichange simu ila hawa wadudu wanatisha sana.
Pamoja na hatari aliyonayo ila akikutana na nguchilo hata awe mkubwa vipi ataliwa tuu.Koboko hana sura ya kutisha ni nyoka mzuri kwa muonekano ila matendo yake ya kutisha
Nyoka wenye sura mbaya ni jamii ya vipers ....kama kifutu....na vipers wengine
Panda ukoka kuzunguka nyumba yako nasikia kwenye ukoka hakatizi.Hallo wanajamii baada ya ku comment kwenye uzi huu mudz kidogo tu nimekuta ngozi nyeupe ya snake ambae nimetafuta sana sijamuona, mara nyingi huku wanapatikama weusi wembamba warefu. Sasa kama kuna mtu anajua nifanye nini ili aone humu hamufai ninulisheni jamani , kuna msemo usidharau udogo wa nyoka sumu ni ile ile. Usiniambie oil, nishajaribu siku moja alipita palepale kwenye oil.
Koboka/Songwe a.k.a black mamba, Beatrix "the Bride" Kiddo anapendeza sana, "black" -refers to the color of its mouth, which is a deep inky black, not the coloration of its skinkwa upande wangu sikawahi kutana nae ila nisikia ni hatare sana na wanasema sana sana anptkn Tabora, kanda ya ziwa ,Dodoma na Mbeya
Kama ushawahi kutana nae share nasi tujifunze😁
Nguchiro,tai,midege mingine yenye nguvu na hata nyegere ni watemi wa nyokaPamoja na hatari aliyonayo ila akikutana na nguchilo hata awe mkubwa vipi ataliwa tuu.
Ngunjiro aka mongoose wana anti venom kwenye miiili yako so hata akigongwa na black mamba sumu haifanyi kazi 100% atalala kidogo ataendelea na maishaPamoja na hatari aliyonayo ila akikutana na nguchilo hata awe mkubwa vipi ataliwa tuu.
Jina lake lingine ni songwe?Koboka/Songwe a.k.a black mamba, Beatrix "the Bride" Kiddo anapendeza sana, "black" -refers to the color of its mouth, which is a deep inky black, not the coloration of its skin
View attachment 3445188
Hata nyegere/honeybadger nae sumu ya nyoka inamlaza kidogo tu kisha anazindukaNgunjiro aka mongoose wana anti venom kwenye miiili yako so hata akigongwa na black mamba sumu haifanyi kazi 100% atalala kidogo ataendelea na maisha
Pia huwa wanajua wapi paa kumng'ata black mamba mara nyingi nguchiro huamza kwa kuvunja uti wa mgongo wa black mamba
Mimi ninae njoo nikupe!..😁Nakutana nae kwenye maandishi kama hivi
Kweli kabisa hua anazima dakika kadhaa then kananyanyuka kanasepa.Ngunjiro aka mongoose wana anti venom kwenye miiili yako so hata akigongwa na black mamba sumu haifanyi kazi 100% atalala kidogo ataendelea na maisha
Pia huwa wanajua wapi paa kumng'ata black mamba mara nyingi nguchiro huamza kwa kuvunja uti wa mgongo wa black mamba
Kabisa kama tai akishamtight na ile mikucha nyoka ujanja wote kwisha.Nguchiro,tai,midege mingine yenye nguvu na hata nyegere ni watemi wa nyoka
ndiyo ....a.ka Songwe, beatrix "the bride" kiddo😀Jina lake lingine ni songwe?