Umewahi kuachana na mtu kisa kazidisha mapenzi?


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo ni Kama Zuchu tu king’ang’anizi
 
Vizuri kama ulifanikiwa kuachana nae
 
Usiombe aisee kuna binti yeye alikuwa anaamka saa 12 ananisubiri nje ya geti ataenda na mimi mpaka kazini nikirudi kazini saa 1 lazima nimkute njia ya kuingia home ananisubiri alikuwa ananiboa kichizi aisee
 
Umenikumbusha first love yangu nilikapenda kamkaka kanaitwa Emmanuel kanajifanya kalokole

Sema tulipendana sana mimi nikiwa form5 yeye chuo… yaani mpk tunaachana Hakuna mtu alitegemea kila mtu alijua tutaoana

Basi yule jamaa alianza vituko nikiwa mimi naanza mwaka wa 1 yeye ameshamaliza chuo… mimi tena ndio nampenda kufa simu kila saa asipopokea mimi ni Malala Mimi alikuwa naongea na nani… yaani ikawa kero akawa na yeye ananijibu shit weeee akajaga kuniacha nilitishia kujiua alivurugwa kunitafuta sipokei simu kumbe hata sikuwa na mpango wa kujiua baadae nilipotulia nikawasiliana nae alinitukana yule kaka sisahau

Kauli zake sasa

Nimekupa nini mpk unaning’ang’ania niambie nikurudishie

Au kosa langu kukutongoza [emoji24][emoji24]

Hanitaki yaani hata iweje hatuwezi kuwa wote

Nakurudishia namba yako sitaki tena unitafutee [emoji23][emoji23][emoji23]

Shezi sana niliteseka mimi nikajikuta nimeingia mahusiano mengi kipindi kile

After two years akarudi et anataka tugange ya jayo nilichofanya nikawa namlia hela yaani Kama sina hela ni kumuomba tu na alikuwa ananipa mwisho akachoka siku hizi simuoni hata WhatsApp

Ila mapenzi ya kugandwa gandwa ni mabayaa yana kera nilikuja kupata mtu huyo aliniganda kama ruba halafu alikuwa wa magandwa [emoji23][emoji23] yaani ndani ya wiki 2 alinitambulisha mpk ukoo wake… nilivopata upenyo mbio nilikimbiaa maana alikuwa mtu wa wivu na hasira
 
Bora maana ungeishiwa kulabwa shaba
 
Bora maana ungeishiwa kulabwa shaba

Jamaa alikuwa ana mwaga sana hela ili anidhibiti shida yake wivu mwingi sana.. kiasi kwamba alifanya chapu kujitambulisha ili ani hold weeee siku aliponiita we demu nikaona atakuja kuniua nikamwacha kwasababu hiyo kwanini aniite demu ni dharau [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
🀣🀣🀣🀣
 
Mpenzi wangu wa kwanza alienifungulia dunia nakukumbuka sana, yy alishakua mzoefu ila mm ndo naanza field😁 alikua ananiona na utoto sana sijui nlikuwa napambana ila yy wala hawazi akichelewa kwenda home kwao nlikuwa nampeleka kwa piki piki za hospital maana nlikuwa na access nazo

Itoshe kusema nlipenda kwel ila baada ya pale πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Katika wivu uliozidi kiwango usiombe upate Binti wa kibena Mapenz inakuwa ni kero zaidi ya kero.

Upande wng Niliona Mapenzi yanaingilia Uhuru wangu Binafs nikaona Bora tuachane ili kulinda Uhuru wng.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…