Umewahi kuchekeshwa na MC Pilipili?

 
Naunga mkono hoja kwa uchungu mkubwa
 
Mimi sijawahi kuchekeshwa nae sio huyo 2 na wengine wote... Watu wanao chekesha ni wale wanao chekesha kw vitendo kama mr.BEAN na "charlie chaplin" lakin hawa wa maneno mengi ni porojo 2 bora Tom na jerry ntacheka hao wana vipaji vya kuongea wala sio wachekeshaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
!
!
Ila Pamoja Na Hayo... Katika Zama Hizi Za, Selikali Ya Awamu Ya Tano Mtanzania/Mtanganyika Mpaka Acheke Inabidi Itumike Sana.

Nguvu Ya Kumfanya Mtanganyika Mmoja Atabasamu Inatosha Kuwafanya Wamerkani 1000Plus Hadi Wakapaliwa Na, Kuvunjika Mbavu
 

Hahaaaaaa Jamaa hatari
 
Hajui kabisa kuchekesha
 
Siku aliyonichekesha ni ile aliyokuwa kwenye interview na mkewe halafu alivyohojiwa na zamarad akaanza kulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…