Huyo jamaa anaitwa MC Mandevu,kwa stand up comedy anajitahidi,kuna moja alinichekesha "mimi ni mwalimu,sioni tabu kusahihisha madaftrari 1000 au 500,mi kufundisha siyo ishu,noma ni pale mtoto wa watu avute bangi zake aniletee,ajaribu kunipiga,nitamtandika,nitampiga vichwa ,nitamtoa meno,najua uongozi wa shule utanirishisha kwa kumfukuza shule,nitamfuata kwao na masela zangu,tutampiga baba yake,nitampiga na mama yake,tutapiga na paka wao,hata kama kuna baiskeli imeegeshwa hapo nje kwao nitapiga,anipige kwa mshahara upi?""
Jamaa yupo vizuri
Sent using
Jamii Forums mobile app[/QUO
una viashiria vya kuwa ww ndie MC Mandevu
Sent using
Jamii Forums mobile app