Umewahi kufika mikoa mingapi Tanzania na ipi uliipenda zaidi?

TABORA gahwa vibarazani na mchezo wa bao...
Mabeto yapo Mara kwa kina Muraa
Rukwa hasa Sumbawanga ni pazuri kwa anayeona mbali
 
View attachment 2705519
Je umewahi kusafiri mikoa mingap Tanzania na ipi uliipenda zaidi na ipi uliichukia zaidi?
Dar
Morogoro
Pwani
Lindi
Mtwara
Ruvuma
Njombe
Kigoma
Mbeya
Songwe
Tanga
Tabora
Shinyanga
Simiyu
Katavi
Iringa
Singida
Dodoma
Mwanza
Katavi
Rukwa.

Ukiondoa Shinyanga,Dodoma, kigoma, Lindi na Singida mikoa iliyobaki ni machimbo ya maana
 
Mwanza
Dar es Salaam
Pwani
Tanga
Arusha
Morogoro
Iringa
Dodoma
Singida

________
Shinyanga
Tabora
Manyara
Kilimanjaro

hii nimepita bila kusimama

__________
Kuchakarika ni popote, mbinu zako tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…