Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Wapi hiyo!nimetoka kuua hili dude masaa machache yaliyopitaView attachment 2892845
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi hiyo!nimetoka kuua hili dude masaa machache yaliyopitaView attachment 2892845
Mi kila siku simba na fisi nawakimbizaga na mwiko ule wa kusongea ugali...Mimi kuna siku niko na Pikipiki nimetoka site huko nyengedi napanda Milima ya rondo mida ya saa 2 usiku aisee Mara simba huyu hapa nilianguka na Pikipiki nikainyanyua sikugeuka nyuma nilipofika kijijini palepale nilizimia.
Kuna siku tena natoka makangaka naelekea kiranjeranje kupanda basi saa 12 Asbh niko na miguu aisee ghafla naona simba dume na jike huwez amini simba Walikuwa hawana njaa walinisindikiza ila Mimi begi nilitupa na Viatu nilikimbia baadae akaja jamaa wa baiskeli aliokota viatu na begi kauliza nani mwenye begi nikamtajia vitu vilivyopo ndani kitambulisho na nguo akanipa begi.
Kuna siku tena niko speed natoka kinyope nakuja Rutamba pale katikati chui huyu hapa kainua miguu aisee nilinyosha wanguwangu akaruka pembeni.
Siku nyingine tuko na gari Tukaona tembo wanne ruangwa wanapita.
Kiboko ashanikosa kwenye mtumbwi mto ruvuma daraja la mkenda.hakuwa na mtoto alikuwa anaibuka nasikia akiwa na mtoto ndo anakuwa mkali.
Nyoka ndo sana barabarani nishkutana nao zaidi ya Mara tatu ila wadogo wadogo sijawahi kukutana na joka kubwa na kuna siku tumekaa kwenye mti ghafla nyoka kadondoka.
Aisee tunaoishi huku lindi tumepakana karibu sana na pori kubwa la selous yaani tunapocheza Cheza huku njiani tunakutana na viumbe machachari hapa ninahamu tu kuja kukutana na mamba live ndo sijawahi kumuona.
Mwalimu wangu wa advance chemistry form 5 and 6...sijui kama ntakuja kukutana na kiumbe mkali kama yule..
Mkuu hata wewe kweli ninayekuheshimu unanitoa maana kumbuka me jf nimeingia 2014Siku hizi utoto na watoto vimetawala jf......
Vifutu hao. Wapo sana Iringa na alininusuru nikiwa mdogo huko Moro. Nilimkanyaga ni Mungu tu aliniepusha kwani yule kifutu(Viper) ndio nyoka mwenye sumu zaidi duniani.Nilikoswa koswa na nyoka nimeenda Kwa jirani kama saa moja hiv wakat naingia nasikia kitu kinafoka sikuwa na toch na umeme ulikuwa hakuna nikasimama bahat nzuri walikuwa na tochi wakamulika aisee bonge la joka wakamuua hatujakaa vizuri mwingine anakuja wakamuua nae nafikir ni wale wanatembeaga wawili wawil
Pole😆Nilikoswa koswa na nyoka nimeenda Kwa jirani kama saa moja hiv wakat naingia nasikia kitu kinafoka sikuwa na toch na umeme ulikuwa hakuna nikasimama bahat nzuri walikuwa na tochi wakamulika aisee bonge la joka wakamuua hatujakaa vizuri mwingine anakuja wakamuua nae nafikir ni wale wanatembeaga wawili wawil
ruaha mbuyuni chiefWapi hiyo!
wewe jamaa mwenyejiHii sio Ruaha Mitaa ya Tungamalenga huko?
dhana za jadi tu mkuu linaaibu sana likitingwa na watuAiseeee, umetumia nini kuliua?
ruaha mkuuPanafanana na Same hapo
anahistoria ya kula mbuzi huyu mwambaHuyu alikuwa anapita zake usingemgusa