Fear attracts attack. by FANG!
..Why.. Negative emotions is magnetic (attracts) to what cause d it!!
TAFAKARI:..
...Mtoto mdogo amekuwa anacheza na nyoka ..kwa muda mrefu tu na akiwa salama salimini nyoka hakumdhuru. Mama yake alikuwa hamuoni akifanya hivyo wati wowote...
Lakini
Mara Mama akageuka na kuona Mtoto wake anacheza na Nyoka .. akapatwa na mshituko wa Woga na Wasiwasi (Fear) ... akahamaki na kukimbilia kujaribu kumchukua mtoto wake toka kwenye hatari ...
Mara?
Nyoka naye akawa mkali na kumshambulia (Attack) .. Mtoto!!
HONESTLY.
Nani amekuwa hatari na anaweza kuitwa Nyoka wa kweli? Mama, Mtoto au Nyoka