Umewahi kutana na Mpenzi kichefuchefu wa namna hii?

Wenye roho za ki russia tuko wachache sana dunia hii,big up...
 
Nipe Mimi huo mtaji mkuu,nitauzalisha faida tutagawana(au hutuamini tena wanawake?)
 
Mwamba hii umeipiga kitaalamu sana. Keep it up.
 
Kuna kamoja kalikuwa kamepanga nikakatembelea kwake, nikakapa elfu 50 ya matumizi, nafika home kananipigia gesi imeisha, kalikuwa kanatumia mtungi mdogo kanataka elfu 23.
Mimi kuna mmoja alikuja home wakati wa kuondoka nikampa hela ya matumizi nikamwambia ukifika home nijulishe.
Alivyofika kwao akanibip nikampigia nikamuuliza vipi mbona unabeep akasema sina vocha akaomba nimtumie salio!!!

Baada ya kukata simu sikumtafuta tena nasubiri mpaka Yesu arudi.

Mkuu naona hasira zako na zangu kama mapacha [emoji23]
 
Umenena vyema!
 
Naona kama wanaume wenye hela nyingi ni wachache sana, wanawake wanaohitaji wanaume wenye hela ni wengi sana, yaani ni rahisi kukutana na mdada mwenye tako kubwa, kuliko kukutana na mwanaume mwenye hela nyingi amu
 
Mi ndo nimesha move on. Sitaki tena kuwa na mwanamke mpumbavu
 
Kuna kamoja kalikuwa kamepanga nikakatembelea kwake, nikakapa elfu 50 ya matumizi, nafika home kananipigia gesi imeisha, kalikuwa kanatumia mtungi mdogo kanataka elfu 23.
So kaliamini ile 50 elfu umekapa ya mapambo? Kwa nini kasingetumia kununulia gas?
 
"Usimuonee huruma mwanamke" nukuu ya taikon wa fasihi ROBERT HERIEL
 
Braza we sio mtu mzuri.Yan unataka Mbususu ikufanyie mchezo wakurudi kinyumenyume..aahhhh
 
Hakuna kitu sipendi kama kuombwa ombwa hela.
Ndio mana nikishakutusua basi nafanya kukulipa ili kila mtu ashike 50 zake.Nikihitaji tena nitakulipa ila hapa kati tuwe tu washkaji.Kama kuwasiliana tuwasiliane kishkaji mbona yako mambo mengi tu ya kuongelea mbali na ishu ya hela????

Mara 100 basi niombe hela ya kufanya shughuliya msingi ya uzalishaji hapo naweza kuingia utu nikakutafutia ila pesa ya ku spend kisa tu mbususu hapo sahau.Nakupa ukishanipa till next time
 
Mi sijajua huwa wanakuwa na tatizo ganj wadada wa namna hii. Hawataki kabisa kushirikisha ubongo wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…