Umewahi kutana na Mpenzi kichefuchefu wa namna hii?

Kaxa hapo hapo hakupendi huyo
 
zoba nyie ndo mnaaibisha tasnia ya uanaume
 
Sijaelewa
Umeleta huu uzi kwa lengo la kuelimisha, au taarifa au kumnanga?

Ukishaachana na manzi ama.mwenza wako. Jitahidi usiingie mtego wa kumdhalilisha kwingine. Kumbuka mliunganisha vikojoleo hivyo damu zenu zimeungana na unavyomdhalilisha ni kujidhalilisha mwenyewe.
 
Hapo kama unaweza uhame kabisa na asiwahi jua uko wapi. Them psycho kinda chicks hawajuagi rejection mzee, itaku-cost balaa.
 
[emoji1787][emoji1787]Hawanaga akili akili hao, nowdays mwanamke akikusumbua na ujuaji wanaoutoa kwenye tamthilia muache njia panda pita pembeni, anasema MUNGU wake atamlipia anadhani MUNGU ni mzee Jolijo
 
Shikilia hapohapo mzee baba usiachie
 
na atakutafuta kwaajili ya hela zako tu, trust me atamiss pesa na atafanya juu chini mtarudiana tu
Ni kweli mkuu, lakini na mtoa mada kama alikuwa hana wapenzi zaidi ya huyo bas nadhani atakuja kujua alikuwa anapoteza pesa nyingi kwasababu sasa hivi atakuwa anatunza pesa alizokuwa ana muonga huyo demu na kama ana akili atangundua huyo alisabisha hasifanye maendeleo ya kiuchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…