Umewahi kuwaza nani atashika simu yako ukifa?

Mbona wanaotuma ni Wengi wakike kwa wakiume ana shida gani nahao wanawake tu???
Swali gumu sana kwangu, sikufanikiwa kuuliza lengo lake๐Ÿ˜…
 
Hadaa hizo huendelea kupumbaza roho kama liwazo na wakati wa kukata kabisa roho, huja raha kubwa sana
Mbona umeongea kinyume na ninavyojua. Ukiachana na wale wanaokufa usingizini, aliyekuwa macho naona Huwa anaumia sana wakati anakata roho. Au walikuwa na masambi mengi? ๐Ÿ˜…
 
Mimi binafsi nakuelewa kwa kuwa natumia app pia. Watu wengine huwa wanapenda kulazimisha wanachojua wao ndio uwe ukweli. Umeshasema app ila mtu anakomalia iwe browser [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeona hii maana hawajui reality sensitive app ka JF unaanzaje kuweka remember password na username maana mi mzoefu wakutumia mitandao na siwezi allow hyo kitu kabisa
 
Wewe ulijuaje kama hizo picha ni kutoka selfika tu??
Ondoka neno "tu" hakuna sehemu nimelitumia, ila nafahamu picha nyingi huwekwa selfika kuliko sehemu zingine.
 
Nasemea hyo kugoma ku log in mbona jibu Hali relate kabisa ndio umecopy huko chatgpt bila ku edit
 
Kuwa huru. hata ukifuta utabadilisha ukweli kuwa ww ni nani na kama ni mchafu utakuwa mchafu mpka utakapo amua kubadilika lkn sio kwa kufuta vitu ulivyonavyo kwenye simu.
 

Jukumula kujilinda lipo mikononi mwa mhusika.

Nikifa, kila kitu changu lazim kiwe deleted ndo mtu yeyote atumie
 
Ondoka neno "tu" hakuna sehemu nimelitumia, ila nafahamu pocha nyingi huwekwa selfika kuliko sehemu zingine.
Kwamba Bossi hatumii social networks nyingine zaidi ya jf ??? Kwanini umeanza na habari za kifo mkuu mtu kuingia kwenye akaunti yako si mpaka ufe mwingine anaeza azima simu yako ili atumie intanet akakuta upo jf na umesave password akiclick imoooo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ