Nimependa hapo mwisho ulipomaliza kwa kusema kuwa ukitumia jf unakuwa ka suspectIt's dangerous Kwa kweli ukitaka ku log out had uninstall application ni usumbufu. Nimewahi banwa sehemu thanks God nilikuwaga sijalog in long time and I deleted the application. Wafikirie security hasa nchi hii ukitumia jf unakuwa ka suspect
Mbona kama unataka kuhamisha hii mada?Kwahio ukafanikiwa kulogin kutumia id yake na kugundua ni mtu asiekoment sana na kwamba selfika Huwa anapita kimya kimya na kuchukua picha za wadada ausii??
Kweli umetishaaa wewe Ninoumaaaaa!
Kweli Wewe ni mwambaa!! Umetishaaa mkuu!Mbona kama unataka kuhamisha hii mada?
Kuhusu kujua ID ni mimi nilimfungulia (hata whatsapp huwa namsetia), ila sikuwa najua kama anakusanya picha. Id naijua
Siku log in.
Watu sijui wanakuonaje onaje hiviNimependa hapo mwisho ulipomaliza kwa kusema kuwa ukitumia jf unakuwa ka suspect
Hatahivyo wanadada wanaoutupia picha mara kwa mara uzi wa selfika hawafiki 40. Na hatakama wangefika inahitaji huyo bwana awe hana kazi ya kufanya ili kila picha ikiwekwa aipate maana hakuna muda maalum wakuweka picha, na zikiwekwa hazikai zinafutwa, too good for them hakuna GBJF.Aliekufa kafa tu haibadilishi chochote hata siri zikijulikana.
Kuhusu huyo boss wako aliekupa kazi kwenye pc yake akipita hapa atakujua tu umefunguka sana.
Kuhusu kutunza picha sidhani kama ni kwa nia mbaya, n kuweka kumbukumbu.
0,1,2,3 possibles ni 900+Hapo sio rahisi kujua, wengi hawasumbuki na password
Sio lazima akae kusubiri picha iwekwe, muda anaokutana nayo anaweza i save.Hatahivyo wanadada wanaoutupia picha mara kwa mara uzi wa selfika hawafiki 40. Na hatakama wangefika inahitaji huyo bwana awe hana kazi ya kufanya ili kila picha ikiwekwa aipate maana hakuna muda maalum wakuweka picha, na zikiwekwa hazikai zinafutwa, too good for them hakuna GBJF.
Watu na id zao za kazi maalum.!Hatahivyo wanadada wanaoutupia picha mara kwa mara uzi wa selfika hawafiki 40. Na hatakama wangefika inahitaji huyo bwana awe hana kazi ya kufanya ili kila picha ikiwekwa aipate maana hakuna muda maalum wakuweka picha, na zikiwekwa hazikai zinafutwa, too good for them hakuna GBJF.
Na kama hana kazi anayofanya basi anakosa sifa ya kua boss wa mleta mada, ikiwa hivyo habari inapoteza credibility.
Ila angalizo lake ni la msingi. Japo maoni ya one time password(OTP) siyaungi mkono. Ni usumbufu kila unapotaka kuingia ulog in kwa password nyingine, very cumbersome. Pia sio salama kuipa system jukumu la kulinda usalama wako, kwamba yenyewe ndo ikutengenezee OTP. System zinakua comprised kila siku.
Shauri yao sio😅
Unafahamu ni lini watu wameanza kuweka na kufuta? Unafahamu ni ID ngapi zinafanya mzunguko kwenye simu na laptop moja?Sio lazima akae kusubiri picha iwekwe, muda anaokutana nayo anaweza i save.
Toka uzi umeanza 2019 mpka leo hawafiki 40 Walio weka picha? Au umewazia mwaka huu pekee.
SawaaUnafahamu ni lini watu wameanza kuweka na kufuta? Unafahamu ni ID ngapi zinafanya mzunguko kwenye simu na laptop moja?
Kupata picha mbalimbali za wanawake arobaini, ni lazima uwe huna kazi. Ama JF iwe ndo kazini kwako, tena kwenye huo uzi to be specific
Mkuu ushawahi kutupia story humu??? Yani zile nyuzi za muendelezo ushawahi???Sawaa
Tatizo muda mkuu nijibu tu kama ulivojibu mengine hapo juu ! Ushawahi??Search tu id yangu utapata jibu.
Hapo sawa! 👊🏾Alinipa ruhusa nipunguze baadhi ya files zenye videos. So nikawa nafungua kila file kujua kama kuna videos ndani.