Na mwamini Mungu, notaleta majibu na mtayapima na kama kuna atakae kuwa amepata YOTE MATATU, nitampa zawadi yake 🙏🏾Mleta mada ameshayakataa majibu sahihi. Yapo huko juu.
Kinachoendelea hapa ni kurefusha uzi tuu
You score 2 out of 3 , Well tryJibu LA KWANZA.
Wa pili.
Jibu LA PILI.
Umebakiwa na mbuzi 7.
SWALI LA TATU.
Ni mama wa mtoto.
Kuna buku ten Hapa mwalimu, kwenye huo mtihani niwekee hata D na sio Fkwa bahati mbaya hakuna ulilopata 😅
yaan sure ,lile moja umejikanyaga kutoa maelezo marefu, ila ulielekea kbsKuna buku ten Hapa mwalimu, kwenye huo mtihani niwekee hata D na sio F
Wote mmekosa mi nawashangaa sana inamaama IQ zenu zimezorota kama umeme wa tanesko!.
Page ya tatu hii na hakuna aliepata...
2/3 , good try, ungepaswa uwe na 3/3 ili upate zawadi1,utakuwa wapili
2,utabaki nao 7
3,mama
Ans1: kwenye mashindano, ukimpita mtu wa pili wewe ndio unakua wa piliHizi ni chemsha bongo tatu tu ,na atakae patia chemsha bongo zote tatu bila kukosea namba hata moja, atapata zawadi ya Vocha ya mtandao atakao taka papo hapo.
Zinaenda kwa mfumo wa maswali hivo kuwa makini, Fikiria kabla hujajibu...
We jamaaa , Bado Points unitoe maokoto 😂Good try, moja hapo sio sahihiAns1: kwenye mashindano, ukimpita mtu wa pili wewe ndio unakua wa pili
Ans2: kama walisha kufa wote, hao saba 7 ni wapya au!!? [emoji2960] chukua chukua WOTE - 7 = WALIOBAKI[emoji2960][emoji1787][emoji1787]
Ans3: anaweza akawa kamjibu kibusara kwa kumchukulia kama mtoto wake au kuna uwezekano alie fariki ni mchepuko wa mama yake au baba mlezi na dr ndio baba halisi
Hizi ni chemsha bongo tatu tu ,na atakae patia chemsha bongo zote tatu bila kukosea namba hata moja, atapata zawadi ya Vocha ya mtandao atakao taka papo hapo.
Zinaenda kwa mfumo wa maswali hivo kuwa makini, Fikiria kabla hujajibu.
SWALI LA KWANZA.
Je , ukiwa ndani ya mashindano na ukampita mtu wa pili, wewe unakuwa mtu wa ngapi?
SWALI LA PILI.
Imagine ulikuwa na Mbuzi 15 ,wakafa wote isipikuwa Mbuzi 7 , Je utakuwa umebakiwa na Mbuzi wangapi?
SWALI LA TATU.
Baba na mtoto wakiwa safarini walipata ajali na Baba akafa pale pale, Wakati mtoto yuko maututi akawaishwa hospitali , Doctor akasema " Siwezi kukutibu mwanangu"
Je, Doctor ni nani?
Zawadi ipo wazi kwa atakae jibu kwa usahihi maswali yote matatu.
GOODLUCK!
Kwa jibu langu haulioni auWe jamaaa , Bado Points unitoe maokoto 😂Good try, moja hapo sio sahihi
Page post ya ngap nikwambieKwa jibu langu haulioni au