utawawahi kuingiza hyo vocha akiweka hadharan1. Yaani umpite wa Pili halafu wewe ndio uwe wa pili!? Ukimpita wa pili si unamuacha kwenye hiyo hiyo namba yake wewe unakuwa kwenye namba ya juu yake!?
2. Ushasema mbuzi wote wamekufa(shikilia hapa, WOTE) tuma vocha yangu ya eatel hapa hapa
1. Anakuwa wa pili (kachukua nafasi ya aliyekuwa wa pili)1: Mi mtu wa kwanza
2: Mbuzi 0 make wote wamekufa
3: Doctor ni mchepuko
Tuma kwa namba hii hii jina litakuja Evelyn
toa mkuuNATOA MAJIBU MWENYEWE SASA
Ipi hiyo mzee[emoji2960]We jamaaa , Bado Points unitoe maokoto [emoji23]Good try, moja hapo sio sahihi
tupeee...NAOMBENI NIWAPE MAJIBU
ToaNAOMBENI NIWAPE MAJIBU
Angalia namba 66Page post ya ngap nikwambie
Ndio jibu sahihi, ila Umetoa jibu baada ya mm kutoa ,π So sorryπ π π π nalijibu kichuo chuo sasa mzee wangu
1,Kwa kawaida kwenye mashindano Kuna washiriki kibao sasa kitendo Cha wewe kumpita mtu wapili moja Kwa moja kunaye wa kwanza mbele so wewe lazima uwe wa pili(2) kuchukua nafasi ya yule uliyempita
2,Mbuzi wote wamekufa (15) isipokuwa Mbuzi saba
Nalijibu Kwa pande mbili pande ya kwanza Kwa wanayanga wanaweza kusema imebaki na Mbuzi mmoja endapo iyo saba wakiwa wamechukulia kama namba ya Mbuzi kati ya wote
Lakini upande wapili Kwa sisi wanasimba π naweza kusema wamebaki 7 kama tukichukulia hizo namba tajwa hapo juu zipo kuwakilisha jumla ya wanyama hao katika sehemu Fulani
3,always baba Ili apate mtoto lazima awe na mama baasi wanafanya Yao mtoto anazaliwa ,sasa kama baba kafa na mtoto ashakuwa mkubwa probably kabaki mama yake.....so nataka kusema kuwa Mama ndiye aliyekuwa daktari ,
Sasa hapo nimekupangilia sasa kichuo chuo kataa na hapa π π
Ukikata majibu yangu nakupelekea polisi Kwa kosa la kuuza bandari ( π π π π π )
Angalia 66MAJIBU
1. Utakuwa mtu wa pili.
2.Utabakiwa na Mbuzi 7
3. Doctor ni mama
-Doctor hawezi toa excuse ya kutomtibu mtu. Yule ndie mama mzazi wa mtoto ndio maana akatoa excuse.
Kama kuna aliejibu hivyo na sikuona , Nambie ni page post ngapi ππΎ
mkuu , nipe namba yako ππΎβοΈπ€1. Wa pili
2 .mbuzi 7
3.mama
Sandakalawe hiyoutawawahi kuingiza hyo vocha akiweka hadharan
Ajafafanua.ingawa nami nmepatamkuu , nipe namba yako ππΎβοΈπ€
Inbox mzee chap chapmkuu , nipe namba yako ππΎβοΈπ€
Mbn Yang ujasomaNAOMBENI NIWAPE MAJIBU