jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
ni muda sasa watanzania kuamka na kupambana na maisha yao haya maswala ya kugeuzana tiara yalishapitwa na wakati kwa kufanywa mapongo.Wito kwa wote wanaopenda mabadiliko na Upinzani wa kweli.
Popote ulipo, tunaomba ujisikie kukijenga chama hiki cha ukombozi wa awamu ya tatu.
Binafsi najitole kujenga ofisi ya chama katika ngazi ya Mkoa au wilaya. Nitajenga kwa pesa zangu mwenyewe.
Karibu ewe mpenda haki, karibu na ubarikiwe.
kila ikifika miaka miwili kabla ya uchaguzi kitaanzishwa chama na mwenyekiti wake lazima atoke chama kikuu au chama cha upinzani na baada ya uchaguzi anarudi kule kule.
hivi ni lini watanzania mtaachwa kuchezewa akili kwa mchezo ule ule na katika vipindi vile vile?
sisi hata kama chama kitakuwa kimoja hicho hicho milele kwetu hakuna shida
tunachotaka ni huduma bora,mazingira wezeshi na fursa sawa za maisha kwa watanzania ote kwa kuhakikisha kila mmoja anafaidi matunda ya nchi yake kama china
Tusitumie nguvu kubwa kwenye kutengeneza vyama au kuendesha shughuli za vyama kwani nguvu hyo ingetumika yote kutuletea maendeleao hakika tungekuwa mbali sana.
ifike kipindi baada ya uchaguzi shughuli zote za vyama zifungwe na madaraka yote yahamie kwa viongozi wa utumishi wa umma tu then kikifika kipindi cha uchaguzi ndo vyama vifunguliwe mambo mengine yaendelee