Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 2,255
- 2,825
Watoto wamekula?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukisikia hata harufu yake tunapiga u turn kama kawaida.Kwamba hiyo Umoja Party haitakuwa na vinasaba na CCM...
Ni bora kiratibiwe na dola ili kiweze kushika dola.
Kitakua chama cha mfukoni hakuna jipya,Wito kwa wote wanaopenda mabadiliko na Upinzani wa kweli.
Popote ulipo, tunaomba ujisikie kukijenga chama hiki cha ukombozi wa awamu ya tatu.
Binafsi najitole kujenga ofisi ya chama katika ngazi ya Mkoa au wilaya. Nitajenga kwa pesa zangu mwenyewe.
Karibu ewe mpenda haki, karibu na ubarikiwe.
Ntakuunga mkono, ni muda sasa wa kuachana na wababaishajiWito kwa wote wanaopenda mabadiliko na Upinzani wa kweli.
Popote ulipo, tunaomba ujisikie kukijenga chama hiki cha ukombozi wa awamu ya tatu.
Binafsi najitole kujenga ofisi ya chama katika ngazi ya Mkoa au wilaya. Nitajenga kwa pesa zangu mwenyewe.
Karibu ewe mpenda haki, karibu na ubarikiwe.
Dola wala halina shida wengi ni wazalendo wa kweli na wanaipenda nchi yao, tatizo lipo kwa wanasiasa.Kikishika dola kwa kuratibiwa na dola, mambo yatakuwa ni haya haya.
Dola wala halina shida wengi ni wazalendo wa kweli na wanaipenda nchi yao, tatizo lipo kwa wanasiasa.
Hatau lama zipi hizo.Dola wangekuwa na uzalendo huo, wanasiasa wasingefanya kila watàkalo bila kuchukuliwa hatua.
Tusipangiane cha kufanya. Wewe huko kijijini kwenu umeshajenga hayo unayoyasema?Jenga zahanati, shule, au hata barabara mtaani kwenu au kijijini kwenu kajengee maskini makazi bora.