Umoja Party: Najitolea kujenga Ofisi

Umoja Party: Najitolea kujenga Ofisi

Wewe siyo mpinzani ni mccm namba moja. Unataka kutumia mbinu za wakati wa ukoloni za devide and rule. Kwa mawazo yako hutaki kuona upinzani ukiungana ili uwe na nguvu za kuitoa CCM madarakani.
 
Wito kwa wote wanaopenda mabadiliko na Upinzani wa kweli.

Popote ulipo, tunaomba ujisikie kukijenga chama hiki cha ukombozi wa awamu ya tatu.

Binafsi najitole kujenga ofisi ya chama katika ngazi ya Mkoa au wilaya. Nitajenga kwa pesa zangu mwenyewe.

Karibu ewe mpenda haki, karibu na ubarikiwe.
Mimi naipenda Chadema ila kwa leo tuu nasema CCM mbele kwa mbele ...mimi siwezi kuunga Waasi the SukumaGang.
 
Usafiri najitolea na ikiwezekana nitakuwa dereva pia
 
Vyama vishatosha, msituchoshe.
Vyama gani vinatosha? Vyama hivi vya walamba Asali kina Mbowe, Zito, Lipumba (vu), Dovutwa, Cheyo na takatakata nyingine?

Tunahitaji chama kipya cha kizalendo kisicho na mafungamano na CCM na serikali yake na chenye maono na sera za kufanya Tanzania kuwa taifa la uchumi mkubwa . MIMI NITAKUWA MMOJAWAPO WA WANACHAMA WA MWANZO KABISA WA CHAMA KAMA HICHO
 
Vyama gani vinatosha? Vyama hivi vya walamba Asali kina Mbowe, Zito, Lipumba (vu), Dovutwa, Cheyo na takatakata nyingine?

Tunahitaji chama kipya cha kizalendo kisicho na mafungamano na CCM na serikali yake na chenye maono na sera za kufanya Tanzania kuwa taifa la uchumi mkubwa . MIMI NITAKUWA MMOJAWAPO WA WANACHAMA WA MWANZO KABISA WA CHAMA KAMA HICHO
CCM nacho ni chama cha siasa ama kundi la magaidi ndugu.
Kwanza tuambieni wapi Ben saa8 na Azory
 
CCM wanafahamu vizuri uwepo wa hiki chama. Inatakiwa kujengwe mpasuko fake ndani ya CCM, kupitia mpasuko huo fake, hiki chama kitabeba baadhi ya watu, na kisha chama hicho kitafanya siasa za upinzani zitakakazoratibiwa na dola.

Chama hiki kilikuwa kianze mapema wakati wa Magufuli, lakini ilitakiwa kwanza CDM iuwawe, na ndio maana uchaguzi wa 2020 ulinajisiwa ili hicho chama kianzishwe. Zitapigwa propaganda mufilisi kuwa chama hicho ni cha wazalendo, lakini hiyo ni Hadaa kwani ni chama chenye ushirikiano wa moja kwa moja na CCM kwa utaratibu wa dola.
Kwani sasa hivi CDM haina ushirikiano na CCM?? Kweli aliyewaita nyumbu alifanya research ya kutosha sana!!
 
Pole! Sisi wenzio tunaendelea kula kama kawa!!

Mkuu mimi niko na njaa ya hatari, huenda nikafa wiki hii hii, utakuja kwenye mazishi yangu nikutumie location inbox?
 
Mkuu mimi niko na njaa ya hatari, huenda nikafa wiki hii hii, utakuja kwenye mazishi yangu nikutumie location inbox?
Nitatuma rambirambi mimi niko huku Urusi na Wagner tunapambana kuhakikisha mashoga hayatawali dunia hii.
 
ni muda sasa watanzania kuamka na kupambana na maisha yao haya maswala ya kugeuzana tiara yalishapitwa na wakati kwa kufanywa mapongo.

kila ikifika miaka miwili kabla ya uchaguzi kitaanzishwa chama na mwenyekiti wake lazima atoke chama kikuu au chama cha upinzani na baada ya uchaguzi anarudi kule kule.

hivi ni lini watanzania mtaachwa kuchezewa akili kwa mchezo ule ule na katika vipindi vile vile?

sisi hata kama chama kitakuwa kimoja hicho hicho milele kwetu hakuna shida
tunachotaka ni huduma bora,mazingira wezeshi na fursa sawa za maisha kwa watanzania ote kwa kuhakikisha kila mmoja anafaidi matunda ya nchi yake kama china

Tusitumie nguvu kubwa kwenye kutengeneza vyama au kuendesha shughuli za vyama kwani nguvu hyo ingetumika yote kutuletea maendeleao hakika tungekuwa mbali sana.

ifike kipindi baada ya uchaguzi shughuli zote za vyama zifungwe na madaraka yote yahamie kwa viongozi wa utumishi wa umma tu then kikifika kipindi cha uchaguzi ndo vyama vifunguliwe mambo mengine yaendelee
Una mawazo ya kidikteta kama Jiwe. Watu kama wewe mmezaliwa bahati mbaya Tanzania
 
Back
Top Bottom