Bwasheee cencer9, hivi ni nani anayemshambulia mwenzake hapa??
Ni nani anayemlazimisha mwenzake hapa?
Unalazimisha hapo, unajua kwanini? Kwasababu hujui tu
Hoja ipi hiyo? Nguvu Kuishinda Umoja Party?
Mbona unahadaa jamii wewe? SYLLO maarufu huyo? Wacha weee
Sasa bila mapungufu ninaamkaje asubuhi kuanza kutafuta Chai yangu Ndimu na Asali na Kiazi kitamu? Ugali na Kisamvu cha mbaazi mchana, Wali maharage Usiku halafu nitokee humu nijidai nimetosheka!....tena inabidi nifanye kazi kwa sababu nina mapungufu ya hela,Mke, watoto,wote wanahitaji bima! na bosi wangu naye kwa mapungufu ya hela ananifanyisha kazi nimtengenezee hella Bunge nalo lina mapungufu, hawajalipa msharaha nasikia, Serikali nayo ina mapungufu, kila kukicha wanakopa kujaza maeneo yenye mapungufu.....sasa umeacha kuwaambia hao leo umeanzia kwa Syllo! kha
Niache na mapungufu yangu yakhee manake ndio kinachoniamsha kila kukicha.