Umoja Party: Najitolea kujenga Ofisi

ni muda sasa watanzania kuamka na kupambana na maisha yao haya maswala ya kugeuzana tiara yalishapitwa na wakati kwa kufanywa mapongo.

kila ikifika miaka miwili kabla ya uchaguzi kitaanzishwa chama na mwenyekiti wake lazima atoke chama kikuu au chama cha upinzani na baada ya uchaguzi anarudi kule kule.

hivi ni lini watanzania mtaachwa kuchezewa akili kwa mchezo ule ule na katika vipindi vile vile?

sisi hata kama chama kitakuwa kimoja hicho hicho milele kwetu hakuna shida
tunachotaka ni huduma bora,mazingira wezeshi na fursa sawa za maisha kwa watanzania ote kwa kuhakikisha kila mmoja anafaidi matunda ya nchi yake kama china

Tusitumie nguvu kubwa kwenye kutengeneza vyama au kuendesha shughuli za vyama kwani nguvu hyo ingetumika yote kutuletea maendeleao hakika tungekuwa mbali sana.

ifike kipindi baada ya uchaguzi shughuli zote za vyama zifungwe na madaraka yote yahamie kwa viongozi wa utumishi wa umma tu then kikifika kipindi cha uchaguzi ndo vyama vifunguliwe mambo mengine yaendelee
 
Umoja Party: Hapa Kazi Tu
 
Mi nitachangia bati bando nne
 
Pongezi sana kiongozi.

Lazima chama kipate wafadhili wa ndani.
 
Umoja Party haitakuwa na JIPYA LOLOTE kwani Viongozi ni Walewale na Wanachama ni wale wale Wajinga Jinga tu
 
Jenga, ila funguka wadau wake wa Chama ni wakina nani? Wapiga kura ni watu na si majengo.
 

Wakati wa utawala wa Magufuli kulikuwa na mpango kazi wa kuua vyama hivi vya upinzani vilivyopo hasa CDM, hii ni baada ya tathmini kuwa CCM imepoteza mvuto, na haichaguliki tena kwa kura, kisha kianzishwe chama kingine kitakachofanya siasa za upinzani zitakakazoratibiwa na dola. Naona sasa ndio dola imeona ianzishe hiki chama ili kifanye siasa za kuratibiwa na dola.

Kwa taarifa yenu hizo siasa za kuratibiwa na dola zilishashindikana kwa vyama shikizi vya CCM kama TLP, UDP, CUF nk.
 
Ndugu Zetu wa CCM wameridhia kisajiliwe? Maana wao hujifanya wamilik wa Tanzania

CCM wanafahamu vizuri uwepo wa hiki chama. Inatakiwa kujengwe mpasuko fake ndani ya CCM, kupitia mpasuko huo fake, hiki chama kitabeba baadhi ya watu, na kisha chama hicho kitafanya siasa za upinzani zitakakazoratibiwa na dola.

Chama hiki kilikuwa kianze mapema wakati wa Magufuli, lakini ilitakiwa kwanza CDM iuwawe, na ndio maana uchaguzi wa 2020 ulinajisiwa ili hicho chama kianzishwe. Zitapigwa propaganda mufilisi kuwa chama hicho ni cha wazalendo, lakini hiyo ni Hadaa kwani ni chama chenye ushirikiano wa moja kwa moja na CCM kwa utaratibu wa dola.
 
Ni bora kiratibiwe na dola ili kiweze kushika dola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…