Umoja Party: Najitolea kujenga Ofisi

Shida ni mawasiliano ya ulimi na ubongo wako hayako vzr.
 
Hicho ni Sukuma gang party, angalia wanaokiunga mkono ukiwemo wewe
Naona unawachukia sana wasukuma!! Lakini wasukuma wataendelea kuwepo hata uwachukie vipi na mambo yao yataendelea kunyooka tu.
 
Naona unawachukia sana wasukuma!! Lakini wasukuma wataendelea kuwepo hata uwachukie vipi na mambo yao yataendelea kunyooka tu.

Sukuma gang sio wasukuma, bali ni kundi katili lililokuwa linaamini katika ukatili wa magu.
 
Naona unawachukia sana wasukuma!! Lakini wasukuma wataendelea kuwepo hata uwachukie vipi na mambo yao yataendelea kunyooka tu.
Sukuma gang siyo Wasukuma kama kabila, kwani Ndungayi, Sabaya, Bashiru ni wasukuma? Mbona wao pia ni Sukuma gang
 
Sukuma gang sio wasukuma, bali ni kundi katili lililokuwa linaamini katika ukatili wa magu.
Uongo!! Kwanini jina likahusisha na kabila wa wasukuma? Acha ujinga basi mkuu tunajitambua na tunajua kuchambua mambo usifikiri sisi ni nyumbu!!
 
Uongo!! Kwanini jina likahusisha na kabila wa wasukuma? Acha ujinga basi mkuu tunajitambua na tunajua kuchambua mambo usifikiri sisi ni nyumbu!!

Kwahiyo uluguru mountain ni mlima wa kabila la waluguru? Usambara mountains ni milima ya kabila la wasambaa?
 
Anzisha chama chako
Fanya siasa zako
Wenye akili wataona hoja zako
Ila usilazimishe mtazamo wako kuwa sahihi.
CHADEMA hukuianzisha wewe
Hawakukushirikisha kuijenga, na mgongano wa mawazo unapopata muafaka mnasonga mbele.
Hapa walipofika hadi wakaitwa kwenye maridhiano kwa sababu wana influence, wana hoja, wana nguvu za kisiasa nchini na si wa kubezwa.
Kuwashambulia inaonyesha una mapungufu unatafuta umaarufu kwa mgongo wao
 
Nipo tayar kujitolea kitengo cha kuwawezesha walinda legacy Uwezo wa kujenga hoja ili wajapo humu wawe very accurate kweny kujib hoja!!
 
Bwasheee cencer9, hivi ni nani anayemshambulia mwenzake hapa??
Kuwashambulia inaonyesha una mapungufu unatafuta umaarufu kwa mgongo

Anzisha chama chako
Fanya siasa zako

CHADEMA hukuianzisha wewe

Ni nani anayemlazimisha mwenzake hapa?
Hawakukushirikisha kuijenga
Unalazimisha hapo, unajua kwanini? Kwasababu hujui tu
wana hoja, wana nguvu za kisiasa nchini
Hoja ipi hiyo? Nguvu Kuishinda Umoja Party?
una mapungufu unatafuta umaarufu
Mbona unahadaa jamii wewe? SYLLO maarufu huyo? Wacha weee

Sasa bila mapungufu ninaamkaje asubuhi kuanza kutafuta Chai yangu Ndimu na Asali na Kiazi kitamu? Ugali na Kisamvu cha mbaazi mchana, Wali maharage Usiku halafu nitokee humu nijidai nimetosheka!....tena inabidi nifanye kazi kwa sababu nina mapungufu ya hela,Mke, watoto,wote wanahitaji bima! na bosi wangu naye kwa mapungufu ya hela ananifanyisha kazi nimtengenezee hella Bunge nalo lina mapungufu, hawajalipa msharaha nasikia, Serikali nayo ina mapungufu, kila kukicha wanakopa kujaza maeneo yenye mapungufu.....sasa umeacha kuwaambia hao leo umeanzia kwa Syllo! kha

Niache na mapungufu yangu yakhee manake ndio kinachoniamsha kila kukicha.
 
Ruzuku wanatoaga kiasi gani?
 
Mapungufu yako mpelekee mkeo siyo CHADEMA, wako vizuri kwa ajenda zao na nyinyi anzisheni chama chenu na ajenda zenu
 
Mapungufu yako mpelekee mkeo siyo CHADEMA, wako vizuri kwa ajenda zao na nyinyi anzisheni chama chenu na ajenda zenu
Ndio nimesema wewe ndio unayelazimisha. Nipo na Mke wangu kwasababu ya mapungufu yangu, and that is given. Hoja yangu nimeijibu. Wewe umang'ang'ania ajenda zao. Ni zipi hizo? Ushaona hapa Umoja Party....ajenda ya kuwa na mjengo ishapigwa alama ya ✓ au hukusoma mada? Sasa ya kuanzisha "chama chenu" imetoka wapi, mbona unachanganya mambo?
 
Tunataka vitendo dhahiri sio maneno matupu ya wasiasa wezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…